Justine Kalikawe

Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
4,834
Points
2,000
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
4,834 2,000
Kuna nyimbo mmoja ilikuwa inaitwa Wamachinga
 
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
4,834
Points
2,000
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
4,834 2,000
Jamaa alikuwa anajua sana nakumbuka mwaka 1990 alikuja kwy harusi dada angu alipiga gitaa hatari Sana.
 
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
3,718
Points
2,000
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
3,718 2,000
kma kuna mtu ana nyimbo za huyu nguli wa Reggae hapa Tz naomba aziweke apa plz
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,500
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,500 2,000
Kiongozi 1993- 1995 nilikuwa na kanda mbili za huyu jamaa. Kuna nyimbo kama Nakupenda- akiimba Ninakupenda lazima utambue, nikikuita usinikatae! Halafu kuna Ile ningekuwa na mabawa. Ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege lkn Mimi mwanadamu nimeumbwa kutembea ardhini. Jamaa alikuwa fiti sema studios kipindi kile zilikuwa bado sana technologically.
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,500
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,500 2,000
Nenda YouTube kuna baadhi zipo. Panapofuka Moshi, MV bukoba, tatizo la ajira nk
 
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
3,718
Points
2,000
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
3,718 2,000
Kuna ule tenda wema mmoja wa mapenzi
 
blackstarline

blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
2,318
Points
2,000
blackstarline

blackstarline

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
2,318 2,000

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top