Justine Kalikawe

Justine Kalikawe

Kiongozi 1993- 1995 nilikuwa na kanda mbili za huyu jamaa. Kuna nyimbo kama Nakupenda- akiimba Ninakupenda lazima utambue, nikikuita usinikatae! Halafu kuna Ile ningekuwa na mabawa. Ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege lkn Mimi mwanadamu nimeumbwa kutembea ardhini. Jamaa alikuwa fiti sema studios kipindi kile zilikuwa bado sana technologically.
 
Nenda YouTube kuna baadhi zipo. Panapofuka Moshi, MV bukoba, tatizo la ajira nk
 

Attachments

Back
Top Bottom