Justine Kalikawe

Justine Kalikawe

Rip the Legend. Kalikawe alikuwa Noma Sana huyu Jamaa.

Nakumbuka wimbo wake was kihaya anasema " Ndiija Ndiija luomaitu"
 
Kuna wanadamu wengine wana roho za korosho. Hawapendi kuwaona wenzao wakifanikiwa maishani......
 
Rip the Legend. Kalikawe alikuwa Noma Sana huyu Jamaa.

Nakumbuka wimbo wake was kihaya anasema " Ndiija Ndiija luomaitu"
Ndiija owaitu= Nitakuja nyumbani/kwetu= I will come/be back home. Anasema akisha ng'oa shina la mgomba na kumpanda mche mwingine, atarudi nyumbani, anasema; asisemwesemwe na kumtia nuksi, achwe afanye kazi, ndo furaha ya kila mtu, atarudi nyumbani(akisha fikia malengo/mafanikio/matunda).
 
Daaaaah apumzike kwa amani Justine kalikawe
Samahani wadau mwenye ngoma za album yake ya mwishoo
Haswaaa ngoma ya WAKATI
mashairi yake
"ni wakati mgumu tunaoishi ooooyooo..mwanadamu amejaza ubaya rohoni mwake ona sasaa anafanya vitu vya huzuni na majonzi "
Naitafuta saaaana hii ngoma
Nashukuru zingine kama MABAWA na Mv BUKOBA nimezipatia humu humuu
 
Mkuu salama?
Una wimbo Tweyambe? Wa Justin Kalikawe? Tafadhali sana naomba nitumie. Shukraan.
 
Ni
Nilikuwa na Album yake huyu jamaa.........Ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege , Kuna binadamu wengine wana roho ya korosho , Panapofuka moshi ujue kuna moto chini , Tatizo la wamachinga polisi na wamachinga ...
Ningekua na mabawa inaitwaje??naicheki siipati
 
I am speechless. Shukran mkuu.🤝
Umenikumbusha miaka 30 iliyopita. Nilinunua tape (cassette) ya marehemu kalikawe, maeneo ya stand ya Tanganyika Bus-Mwanza. Ilikuwa ni mwaka 1996 kipindi hicho kalikawe alikuwa maarufu kanda ya ziwa na hata Tanzania kwa ujumla.
My words cannot fully express my sincere appreciation. Thank you so much, Sir, for bringing back such wonderful memories. I truly appreciate it.
 
Back
Top Bottom