Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,593
- 19,012
Cc LIKUDNilisikia pia kitu km hicho, pale nje kidogo na BK kuna hotel moja kubwa sana( jina kapuni), wajuvi wa mambo wanasema aliwahi kuonekana kwenye hiyo hotel baada ya kifo chake.....sina uhakika na haya maana siwez kudhibitisha.
Nyimbo zake nahisi na naamini zinapatikana kwenye music store. Jaribu kutembelea music store kwa ajili ya kupata nyimbo zake.Vipi mkuu kuhusu nyimbo zake?? Tunaweza zipata??
coincidenceRobert Nesta Marley: 1945 - 1981 (36 years)
Justin Kalikawe: 1967- 2003 (36 years).
What a coincidence!
Asante ndugu.Mwenye nyimbo zake aweke hapa tujikumbushe,huyu jamaa nilikua namkubali sana,thanks mleta mada.
kama zile familia zinazo vurugikaNilikuwa na Album yake huyu jamaa.........Ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege , Kuna binadamu wengine wana roho ya korosho , Panapofuka moshi ujue kuna moto chini , Tatizo la wamachinga polisi na wamachinga ...
ZIlivuma sana eti alionekana kwenye hotel ya Walk Guard enzi hizoNilisikia pia kitu km hicho, pale nje kidogo na BK kuna hotel moja kubwa sana( jina kapuni), wajuvi wa mambo wanasema aliwahi kuonekana kwenye hiyo hotel baada ya kifo chake.....sina uhakika na haya maana siwez kudhibitisha.
itakua sababu ya wamachingaInasemekana mkapa alikua hataki kumsikia kabisa huyu Rastafarian
Nakuja..wacha nipate supu kwanza
Aah wapi!alikata moto na kaburi lake lipo.Kama unabisha nenda ukafukueNilisikia pia kitu km hicho, pale nje kidogo na BK kuna hotel moja kubwa sana( jina kapuni), wajuvi wa mambo wanasema aliwahi kuonekana kwenye hiyo hotel baada ya kifo chake.....sina uhakika na haya maana siwez kudhibitisha.
Ndio huyo Innocent Galinoma mkuu au ni watu wawili tofauti?Rastaman live up
R.I.P Justine
Kuna mwingine alikuwa anaitwa Innocent Nganyagwa
Mkuu hebu funguka hapa nadhani kuna kitu sikua nakijua.Gangwe aliyekataa kumeza Dawa, imani yake ilimponza... Majani majani majani tu
Nahisi ndiye ila sina uhakika, nilikuwa namuonaga sana maeneo ya keko/DarNdio huyo Innocent Galinoma mkuu au ni watu wawili tofauti?
Mkuu tupia basi hapa kama unacho..!Niishi kwa amani, hiki pia ni moja ya vibao vilivyo kucha sana enzi hizo!