Just for my info, mwenye CV ya Angela Kizigha please!

Just for my info, mwenye CV ya Angela Kizigha please!

Najua waliopiga kura (Wabunge) wamezingatia vitu vingi sana kumchagua mgombea yeyote aliyeshinda, huyu mama ameshinda kwa kura nyingi sana so am interested to know her in details hivyo kama kuna mwenye kumfahamu naomba nami nijue ueledi wa mwakilishi wetu huyu anayeenda kupambana na kina Professor Wanjiru wanotaka ardhi yetu kuliko kitu kingine katika jumuia hii! Naomba kuwasilisha
Ninachijua ni mgawaji wa K mzuri. Wakati anagombea ubunge wa kawe, kwa masikio yangu kutoka kwa aliyekuwa katibu wa ccm wa mkoa wa Dar kwao ni Kigoma na badaye kuwa naye Mbunge. Ila safari hii kadondoshwa na Baba Levo , Alihamia kwake kabisa. Niishie hapo maana kibarua chake CCM kiliota kwa jambo hilo
 
Sina CV yake.
Huyo mama ni mweupe kichwani...aligombea Ubunge jimbo la Kawe 2010 na kugaragazwa na Halima...Alikuwa anaendesha kampeni zake kitoto sana...uwezo wake wa kupambanua mambo ni sawa na hakuna...wanakampeni wake walikuwa wanaporomosha matusi waziwazi..Kwa jinsi nilivyomtathimini wakati huo sijui wabunge wamevutiwa na kitu gani hadi kumchagua
Wakati huo alikuwa anaidai serikali billion 2 imagine!!!! 2010
 
Umempeleka lini? Pesa Yake ndo imemfikisha alipo. Punguzeni shobo
Nadhani swali kuu ni yake ? Yaani ameipata kiuhalali kwa kuongeza value kwa mwananchi au kwa kutumia shortcut ya kumuumiza mwenye nchi ?

Sababu kama ni ya ujanja ujanja ambayo mwisho wa siku ni ya mlipa kodi ambayo ingebidi kuleta maendeleo basi huyu ni kama kupe myonya damu ambaye kuwepo kwake ni for the detriment ya jamii...

Nadhani walipa Kodi tukifahamu hilo basi tutakemea wizi / ufisadi na sio kuusifia kama ni ujanja
 
Nadhani swali kuu ni yake ? Yaani ameipata kiuhalali kwa kuongeza value kwa mwananchi au kwa kutumia shortcut ya kumuumiza mwenye nchi ?

Sababu kama ni ya ujanja ujanja ambayo mwisho wa siku ni ya mlipa kodi ambayo ingebidi kuleta maendeleo basi huyu ni kama kupe myonya damu ambaye kuwepo kwake ni for the detriment ya jamii...

Nadhani walipa Kodi tukifahamu hilo basi tutakemea wizi / ufisadi na sio kuusifia kama ni ujanja
Iwe halali au si halali haituhusu
 
Iwe halali au si halali haituhusu
Na hilo ndio tatizo kubwa, uelewa.....

Ni kama nyote mnaweka nafaka zenu store ili muweze kula mwaka mzima na mmoja au wachache wanaingia store usiku na kuiba hizo nafaka na kuzitumia kuwapa wachache wenu ili muweze kulima (wao wakiwa wamekaa na kuweka miguu juu) na mwisho wa siku nyie wakulima mnaotunza hizo nafaka mnapata utapiamlo kwa kukosa lishe na bado mnasema huo wizi hauwahusu...., au kuwasifia hao wizi wanavyojeza na system.

Hilo ndio tatizo la jamii zetu kwa sasa kwa kukosa uelewa kwamba zile pesa ni za kwao / jasho lao na kinachowala kipo nguoni mwao...
 
Kwasasa hawafanyi makosa tena, mpaka mtalia MEEEEEEEEEEEEE
 
Aisee na leo ni 2025 tusubiri hili gurudumu la kijani tuone litaishia wapi hii ngoma inavuma sana soon itapasuka
 
Mtu kuwekeza mkihangaika na Jiwe Leo bilionea mnapiga mayowe
Kwanini wahangaike na mfano wa huyu na sio kina Diamond; Bhakhresa, Mo au watu kama hao ?

Ukishapata jibu la hapo ndio utaona mzizi wa fitina; na kama kweli hio pesa ina uhusiano wowote na mali ya UMMA basi hakuna time limit ya mtu kuweza kulalamika
 
Back
Top Bottom