angela kizigha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala ya jamii

    Wakuu, Eti wanataka tuache kuibagaza ripoti yao ushuzi tuhamie kwenye jambo jingine, lakini wanatia petroli kwenye moto🤣🤣 yaani ndo wameona Kizigha atazima hii, kabisaaaa? Haya wacha tuendelee kuwanyorosha lakini kwenye reli hatutoki😎 Lakini wakuu hivi kuna namna ya kufanya kinyesi kiwe...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali yatoa ufafanuzi uteuzi wa Angela Kizigha kuwa Mbunge, yadai taarifa ya LHRC ni potofu

    Serikali imetoa ufafanuzi kwa umma kufuatia taarifa iliyoelezwa kuwa potofu iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kuhusu uteuzi wa Mbunge uliofanywa na Rais Samia Aprili 2, 2026 chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba. Katika ufafanuzi huo, Serikali imeeleza kuwa ni kweli...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania LHRC: Uteuzi wa Angela Kizigha kuwa Mbunge unavunja masharti ya mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali itoe maelezo ya kina kufuatia uteuzi wa Bi. Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikidai kuwa uteuzi huo unakinzana na sheria za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa Nini Kuna Tatizo? LHRC inaeleza...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi waapishwa kuwa Wabunge wa Bunge la Tanzania, Aprili 9, 2026

    Wabunge wateule, Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi, Aprili 9, 2026, wameapishwa rasmi kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu. Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi waliteuliwa kushika nafasi hiyo na Rais Samia Suluhu , mnamo...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Angela Kizigha asijitokeze kujitetea mwenyewe?

    Tangu Rais Samia alipomteua Angela Kizigha kuwa Mbunge Aprili 2, 2026 kumekuwa na maneno mengi mno kuhusu mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EALA). Chanzo cha maneno hayo ni tuhuma zinazomkabili Kizigha za kutokamilisha tenda ya ununuzi wa sare za Jeshi la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Angela Kizigha, James Millya na Ng'waru Magembe wanapaswa kujiuzulu ubunge EALA Kuepusha kuendelea kuvunja mkataba wa Jumuiya

    Kwa mujibu wa ibara ya 50(1) ya Mkataba unaoanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kila nchi mwanachama wa Jumuiya zinapaswa kuchagua wawakilishi tisa kwenda kuwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa upande wa Tanzania utaratibu wa kuwapata wawakilishi hawa kwa kiasi kikubwa unafanana na...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Angela Kizigha kama Magufuli angerejea angemnasa makofi

    Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli aliamuru akamatwe kwa kuhujumu uchumi? Ama kweli, Jiwe angerejea, angenasa nyani makofi. Kweli, paka...
  8. pulex

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mange Kimambi: Angalieni vizuri list ya magari yaliyoingizwa Tz mwaka 2024 kupitia kampuni ya Angela Kizigha, MAGMOP

    Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop. Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop. Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa Angela Kizigha kuwa Mbunge ni uthibitisho kuwa ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT ni batili na haina mantiki yoyote

    Humphrey Polepole kwa kimywa chake alithobistishia umma wa Watanzania kuwa Angella Kizagha aliiba zaidi ya bil 60 kwa kulipwa malipo hewa . Malipo ambayo hayati Magufuli ambae hakufurahi juu ya hili jambo. Na alikuwa na mpango wa kumpeleka Angela Kizigha Mahakanani. Leo hii ameteuliwa kuwa...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kuzima ishu ya Jambo tumeletewa uteuzi wa Angela Kizigha kuwa mbunge, na Mkurugenzi wa Ewura kutenguliwa!

    Wakuu, Aweee hii ni kali! Yaani mtu ana skendo kama mia kidogo anateuliwa kuwa Mbunge badala ya kwenda kuchunguzwa kwa tuhuma zote zilizoibuliwa dhidi yake. Samia anazidi kutuona manyani aisee! Halafu mkurugenzi wa EWURA anatenguliwa kwa nini ikiwa yeye anafuata maelezo tu? Samia alikuwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Fisadi Angela Kizigha tunamtaka, tunamtafuta.

    Jamani tusaidieni kutupa location alipo Angela Kizigha. Fisadi hilo mama. Lazima tulitembelee
  12. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kum search Mtoto wa Angela Kizigha kwenye mtandao unao track import/export ya magari. Mmh!

    Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Angela Kizigha (mpambe mpendwa wa mama). Katika miezi ya hivi karibuni, ameingiza...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Huenda Ufisadi wa tenda ya sare za Polisi Anjela alikuwa mbuzi wa kafara tu

    Hakuna mtu wa kawaida kuweza kupata tenda nzito nzito za majeshi bila mkono wa mwanasiasa mkuu katika nchi. Haya ni maswali muhimu. 1. Anjela alipataje pataje ile tenda ya ununuzi wa sare za Polisi kirahisi rahisi hivyo? 2. Anjela alipataje ujasiri wa kuvuta mpunga mrefu vile na kupotea nao...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Angela Kizigha ndio Nyota wa mchezo

    Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na kushtakiwa kwa ufisadi. Ila baada ya kifo Cha Magufuli hakukamatwa Wala kufunguliwa mashtaka. Cha...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  17. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo. Katika Bunge la Eala...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

    Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM Lakini wapi! Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)? Na hao ma Godfathers wake wataendelea kumlinda mpaka lini? Sitaki kuamini kuwa Mheshimiwa Rais ata vumilia mafisadi kama huyu mama...
  19. Escobar

    JamiiForums Tanzania Just for my info, mwenye CV ya Angela Kizigha please!

    Najua waliopiga kura (Wabunge) wamezingatia vitu vingi sana kumchagua mgombea yeyote aliyeshinda, huyu mama ameshinda kwa kura nyingi sana so am interested to know her in details hivyo kama kuna mwenye kumfahamu naomba nami nijue ueledi wa mwakilishi wetu huyu anayeenda kupambana na kina...
Back
Top Bottom