kopuko
Senior Member
- Oct 24, 2011
- 180
- 58
ah we mwali mbona naskia best frends wamekumega sanaThe Boss, inawezekana.
hasa ukiwa umeachwa
ah we mwali mbona naskia best frends wamekumega sanaThe Boss, inawezekana.
sikubaliani na wewe kwa hili. nipo kwenye ndoa kwa miaka 13 sasa, na wote tunajua kwamba hakuna ndoa iliyo smooth. marafiki zangu wakubwa ni wakaka. na wengi wameshaji-express themselves, lakini kwa vile nawahitaji, nimekomaa nao for the sake of our friendship. nakumbuka kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa inazama, aliyeiokoa ni a male friend, ambaye naweza kusema alinipenda sana, na mpaka leo namheshimu kwa huo ukomavu wake. alijua msimamo wangu, na aliniheshimu sana, hata hayo yalipotokea hakutaka ku-take advantage, maana aliniambia asingejisamehe.Tuko pamoja sana mpendwa!
Hata hivyo, wengi wanashindwa kuhimili vishindo hadi ku give in to a relationship esp kama na yeye anajikuta kuvutiwa.Hii mada iliwahi kujadiliwa lakini kivingine na kuna waliotoa ushuhuda kuwa at times wanajikuta waki double roles zote mbili.Hapo hapo ni rafiki wa kawaida, ila wakati mwingine wanageuka "emotional buddies na hata sex buddies". Mtu aliyeko kwenye relationship esp ndoa ni hatari kuendekeza marafiki wa opposite sex maana kipindi mtu uko kwenye matatizo, na ni kitu cha kawaida, kukimbilia kwa huyu rafiki unaweza kuishia pabaya.
huwezi kumzuia mtu kukuvua nguo kichwani kwake.... na mimi kiukweli hilo halijalishi sababu yeye ni binadamu, kinachojalisha ni asinivue nguo kikwelikweliKama ukichunguza utagundua kuwa wanawake wengi ndo hudhania inawezekana.....ila kama alivyosema Boss....wanawake hawajui tu hao "rafiki" zao wa kiume wameshawavua nguo mara ngapi vichwani mwao.
Niliwahi kuanzisha mada kama hii hii zamani kidogo....ngoja niitafute
Kama ukichunguza utagundua kuwa wanawake wengi ndo hudhania inawezekana.....ila kama alivyosema Boss....wanawake hawajui tu hao "rafiki" zao wa kiume wameshawavua nguo mara ngapi vichwani mwao.
Niliwahi kuanzisha mada kama hii hii zamani kidogo....ngoja niitafute
ah sana tuHivi hili la kiwango lipo kwa wakaka?
Hivi hili la kiwango lipo kwa wakaka?
huwezi kumzuia mtu kukuvua nguo kichwani kwake.... na mimi kiukweli hilo halijalishi sababu yeye ni binadamu, kinachojalisha ni asinivue nguo kikwelikweli
Neno kuntu
Ukishaona unaanza kuumia akiongea na wengine
Ushaingia hasara
Kinachobaki ni utu uzima ili kulinda urafiki
oh! mpo juuuuuuuuuuuu, sipati picha chini ya kiwango............... lol!kuna a secret rule ya never say no to a free k ..lol
viwango vipo lakini still lol
kama unanifwatilia vizuri post zangu nimeweka wazi kabisa kuwa huwa wanavutiwa. na mara nyingi, kama mimi huwa najua kabisa kuwa hapa mtu anajikaza. jukumu langu mimi ni kumsaidia ajikaze na baadae aone ni kawaida tu........... hili linawezekanaWadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...
Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
Wadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...
Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
Wanawake huvutiwa na inner beauty
Ndo maana unaweza ukashangaa
Mbona huyu mwanamke mzuri kabisa lakini kapenda sura ya '$%^^&'
Na ndio maana
Inakuwa ngumu sana kwa mwanamke kuventure kwenye biashara na mwanamme
At a certain point unaanza kuona macho ya tamaa
Hiyo huwa inakatisha tamaa sana
Hata kama mwanamke hatalalamika
Maana anahofia kufungua mjadala
Ambao partner kashindwa kuuanzisha
Its so hard jamani.
My dear,
Bora umesema.Ni urafiki wa mashaka..ushaona mbuzi na simba wakaishia kuwa marafiki?
wanawake hawajui kuwa kuna vidume ukiviambia tuwe tu marafiki
imekula kwako
with time 'atakuvutia tu 'lol
kuvutiwa kupo, la maana hapa ni resistancewanawake hawajui kuwa kuna vidume ukiviambia tuwe tu marafiki
imekula kwako
with time 'atakuvutia tu 'lol