Just a friend na matatizo yake.....

Kwahiyo wewe ukiwa na mazoea ya kuonana na mwanamke/mwanaume yeyote yule bila kujali alivyo lazima ijitokeze 'hali isiyo ya kawaida'?

kawaida kuonana mara kwa mara hujitokeza mazoea na uhitaji wa ukaribu wa mwenzako hupelekea tamaa za mwili
 
kawaida kuonana mara kwa mara hujitokeza mazoea na uhitaji wa ukaribu wa mwenzako hupelekea tamaa za mwili

Na mtu unaechat nae ndio huwezi kumzoea mpaka ujikute unamtamani/mtaka kimapenzi?
 
The Boss,it is veery possible..and fun too.,mi ninao,and most ni older than me,so i get to be the kiddo!.they listen,advice and wanarespect..ila it all depends ulijiekaje mwanzoni,..
 
the boss, mie naona inawezekana saaana sana, mie nina rafiki yangu best kabisaaa ambaye ni mwanaume na tunaheshimiana sana sana, sijui kama yeye ananitamani lakini mie sijawahi kuwaza hivyo kabisa kabisa, anatambulika kwangu na mie kwake bila matatizo kabisa, naona ni akili ya mtu tu ukiwaza mambo hayo huwa yanakuja tu ila usipoyapa nafasi wala haikusumbui
 
Inawezekana lakini somewhere down the road, nature itawatania.Lets face it na tuwe wakweli maana hapa hatuongei kufurahisha baraza bali kufahamishana na kuelimishana.Hata walio marafiki JF mtakuwa mna ya kuchagia kwenye hili.

Binafsi nimewahi ku experience katika maisha. Nilipokuwa secondary school, iliwezekana sana maana kila mtu ana focus masomo zaidi na hata huo urafiki uko alligned zaidi na masomo au social activities za kishule.

Kazini nako inawezekana kama kila mmoja atauweka urafiki uelekee zaidi kusaidiana kikazi na kampani ya kazini.Ila mkiendekeza kuambiana mambo ya moyoni na yale yasiyohusu kazi ndio mmeharibu.Emotional attachment inajengeka na kugeuka LOVE! Hata mmoja akiwa hajiskii kuvutika kimapenzi basi urafiki huo unakua umeshaingia dosari .Wenye kubisha njooni na ushahidi kamili na siyo maneno matupu.
 
Hivi kuna ambao wanafanikiwa kuwa best friends au just friends
huku ni jinsia tofauti bila kutokea matatizo ya
wivu,mapenzi,sex na kadhalika?????

kwa upande wangu naona ni ngumu saana

siku zote naona kuna mmoja anakuwa 'anaumia' kwa chini chini.....

je nyinyi mna uzoefu gani na hili??????????

Kwa uzoefu wangu inawezekana hasa kama hakuna mwenye hisia za mapenzi kwa mwenzie ila kama mmoja atakuwa anamtamani mwenzie huo u 'just friend' hautakuwepo!
 
mi naona inawezekana. Mi nnao friends wa kike kibao na hata sina wazo

katika hao friends wa kike kuna mmoja atakuwa anakupenda lakini kajikausha..
so imewezekana kwako sio kwao...labda
 
Inawezekana lakini somewhere down the road, nature itawatania.Lets face it na tuwe wakweli maana hapa hatuongei kufurahisha baraza bali kufahamishana na kuelimishana.Hata walio marafiki JF mtakuwa mna ya kuchagia kwenye hili.

Binafsi nimewahi ku experience katika maisha. Nilipokuwa secondary school, iliwezekana sana maana kila mtu ana focus masomo zaidi na hata huo urafiki uko alligned zaidi na masomo au social activities za kishule.

Kazini nako inawezekana kama kila mmoja atauweka urafiki uelekee zaidi kusaidiana kikazi na kampani ya kazini.Ila mkiendekeza kuambiana mambo ya moyoni na yale yasiyohusu kazi ndio mmeharibu.Emotional attachment inajengeka na kugeuka LOVE! Hata mmoja akiwa hajiskii kuvutika kimapenzi basi urafiki huo unakua umeshaingia dosari .Wenye kubisha njooni na ushahidi kamili na siyo maneno matupu.

tell them....
 
Kwanza inawezekana sana.
Kama hamna aliye attracted na mwenzake kuwa marafiki hakutobadilisha hilo. Mtapendana, mtaelewana, mtajaliana ila kila mmoja atapenda kwingine kimapenzi. Na hii ni kwasababu unaweza kumpenda mtu (fikra/mawazo/tabia yake/ushawishi wake) bila kuvutiwa nae kimapenzi.

Pili Kama mmoja anavutiwa na mwenzake hata wasingekua marafiki bado upo uwezekano mkubwa tu kwamba angevutiwa nae, na kama uwezekano wa kuwa nae nao ungekuwepo basi wangekua pamoja. Sasa bora kipi. . . kufall inlove with your (best) friend, mtu ambae mnafahamiana zaidi ya watu wengine wavyofahamiana au mtu tu anaeibuka out of nowhere?

Alafu kama hujagundua jaribu kuchunguza msichana na mvulana ambao ni marafiki wazuri/wa karibu sana huku wakiwa wana wapenzi wao. Utagundua kwamba kwa kiasi kikubwa wale wapenzi na bestfriend ni tofauti kabisa. Kama rafiki ni mchangamfu/mchokozi chokozi sana utakuta mpenzi ni mpole, kama mpenzi sio mtu wa movie/music kwa sana utakuta rafiki anapendelea. Kwa maana nyingine watu(sio wote) hua wanakua na marafiki wenye yale wasiyonayo wapenzi wao/yanayowavutia kua mpenzi na mtu ni tofauti na yanayowavutia kwenye urafiki. That way anatengeneza balance. . . akichoka kukaa nyumbani na kuboreka na mpenzi anamtafuta rafiki yake achangamke kidogo, akichoka na maneno mengi kwa mpenzi anamtafuta rafiki yake akili itulie kidogo.

So ndio inawezekana kuliko ambavyo watu wanapenda kukubali.

from experience watu wengi hushindwa
ingawa ni kweli labda inawezekana
 
Inategemea na mtu kwa sababu watu wote sio sawa. Mimi best friend wangu ni wa kike na tunapendana sana na wala shida kama wivu wa kijinga kijinga na mambo mengine ya ajabu ajabu
 
zaidi ya kuamua kutunziana heshima, mengine huwa ni muujiza. Nilibahatika kupata rafiki mmoja tu ambaye kwa kweli siku tunaachana ali-confess kwamba alivumilia sana (hii naamini kwa kuwa alimpenda Mungu sana) wengine wote ni kukomaa nao ili tu urafiki uendelee kuwepo, maana ukiwapa tu urafiki unaishia hapo!
 
he hee heee umenikumbusha kitu
Steve Harvey aliwahi kusema all women needs a gay friend lol
someone to listen to them anytime bila uwezekano wa ku fall in love lol

Gays are nice people.I have several gay friends na hakuna shida hata kidogo.Shida iko kwenye mwanaume ...mwenye hisia kwa mwanamke! Gay tena usiombe maana urafiki wao utafurahia hadi basi. Ni watu wa kutegemewa sana, ni wakweli, wanajali kama marafiki.
 
zaidi ya kuamua kutunziana heshima, mengine huwa ni muujiza. Nilibahatika kupata rafiki mmoja tu ambaye kwa kweli siku tunaachana ali-confess kwamba alivumilia sana (hii naamini kwa kuwa alimpenda Mungu sana) wengine wote ni kukomaa nao ili tu urafiki uendelee kuwepo, maana ukiwapa tu urafiki unaishia hapo!

ha haa unakomaa nao kwa kukataa urafiki?
umepotea saana
hiyo photo ya mgongo mi hoi lol
 
Gays are nice people.I have several gay friends na hakuna shida hata kidogo.Shida iko kwenye mwanaume ...mwenye hisia kwa mwanamke! Gay tena usiombe maana urafiki wao utafurahia hadi basi. Ni watu wa kutegemewa sana, ni wakweli, wanajali kama marafiki.

umeona?
kwa hiyo its natural sio?
wanaume hatupaswi ku feel guilty kuwatamani ma best friends wa kike...
ipo all over kwa kweli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom