Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Kama ukichunguza utagundua kuwa wanawake wengi ndo hudhania inawezekana.....ila kama alivyosema Boss....wanawake hawajui tu hao "rafiki" zao wa kiume wameshawavua nguo mara ngapi vichwani mwao.
Niliwahi kuanzisha mada kama hii hii zamani kidogo....ngoja niitafute
Wakishawavua wanafanya nini?
Kama mtu anavutia hata stranger atamvua tu kwahiyo mpaka hapo sioni tatizo.