Just a friend na matatizo yake.....

inawezekana wachache hao
hawaja experience ndo maana wanasema hivyo
Tayari wapo waliosema wana experience kwahiyo hamna cha "hawajaexperience". . . au unataka mpaka wajaribu kwako ndo utaamini kwamba inawezekana?
 
@ NN & Boss. . .
You guys should start an Anti-'we are just friends' with the opposite sex movement. Alafu msisahau kwamba hata wanawake kwa wanawake wanachukuana siku hizi.
 
@ NN & Boss. . .
You guys should start an Anti-'we are just friends' with the opposite sex movement. Alafu msisahau kwamba hata wanawake kwa wanawake wanachukuana siku hizi.

funny utashangaa nikikwambia most men
including me
huwa hatuogopi wala kuumia ukisikia mkeo au gf
ana 'girlfriend' ambae maybe wana nanihii...lol

the issue here is another man.....
 
funny utashangaa nikikwambia most men
including me
huwa hatuogopi wala kuumia ukisikia mkeo au gf
ana 'girlfriend' ambae maybe wana nanihii...lol

the issue here is another man.....
Haibadili the fact kwamba anatamani na amaridhishwa na mtu mwingine tofauti na wewe. Wala haifanyi kucheat kwake kuwe na nafuu kwasababu tayari anaongeza mtu wa tatu kwenye mahusiano ya watu wawili.
 
ha ha ha

nataka kufungua advert company.
Hapa nafanya mazoezi kama naweza kuwa aggresive kutangaza kampuni yangu.

Ntakudai zawadi
huwa sisahau
Konnie nidai zawadi siku ya Valentine. . you deserve a promotion!!
 
ha ha ha

nataka kufungua advert company.
Hapa nafanya mazoezi kama naweza kuwa aggresive kutangaza kampuni yangu.

Ntakudai zawadi
huwa sisahau

Basi mi nakwambia umeweza. .
Fungua ntakua nakutafutia dili!! Zawadi ngoja nianze kutafuta.
 
si kwamba haiwezekani kabisa
ila kuna challenge zake kama hizo.
hicho kipindi kikipita na msiharibu
mnakuwa real good good friends.

@ NN & Boss. . .
You guys should start an Anti-'we are just friends' with the opposite sex movement. Alafu msisahau kwamba hata wanawake kwa wanawake wanachukuana siku hizi.
 
si kwamba haiwezekani kabisa
ila kuna challenge zake kama hizo.
hicho kipindi kikipita na msiharibu
mnakuwa real good good friends.
Sasa Konnie challenge zinakimbiwa ama zinakabiliwa?
Kama mtu hawezi tu kumwambia rafiki yake hapana pale anapomtongoza huku tayari akiwa na mahusiano mengine sasa nini anachoweza? Kina Boss na NN wakimtokea hapa JF ndio atakataa? Kina Juma na Frank wakimtokea FB ndio ataweza? Maboss na CO-workers wakimtokea ndio ataweza? Vijana na wazee wa mtaani wakimtokea ndio ataweza?
 
Kitu self control lazima kiwepo
hata kama una-feel kitu
hasa pale mnapokuwa kwenye mahusiano mengine

ila hiyo ya kumfeel rafiki hutokea sometimes.

Feelings hutokea mara nyingi ..hasa wanaume wanajifanya wana feelings/tamaa sana.Lakn ukiidharau mtaendelea na urafiki.Mkiendekeza ndio mwisho wa urafiki.
 
some friends are very hard to find
hutaki kuwapoteza kabisa
sema hata kama ni rafiki wa kiasi gani
lazima uoneshe msimamo wako
kama wa hapana weka clear boundary
kama wa ndio haya napo twende kazi

Kwani rafiki akiomba lazima apewe ..si unamwambia tu no feeling for you ,,kama ndo mwisho wa urafiki sawa tu:A S-coffee:
 
Unadhani wanawake haitokei?
Au ikitokea huwa hawasemi?
Wanaipotezea tu
hadi itakapozoeleka

hapa nina mfano ntasimulia siku ingine
Feelings hutokea mara nyingi ..hasa wanaume wanajifanya wana feelings/tamaa sana.Lakn ukiidharau mtaendelea na urafiki.Mkiendekeza ndio mwisho wa urafiki.
 
Kitu self control lazima kiwepo
hata kama una-feel kitu
hasa pale mnapokuwa kwenye mahusiano mengine

ila hiyo ya kumfeel rafiki hutokea sometimes.
Sasa kama mtu hana self-control hata ukimfungia ndani wakati unaenda kazini siatapandisha mtu ukuta?Au hata apande yeye?

Kama humuamini mtu na rafiki yake usimwamini na mwanaume yeyote yule, kwanzia muuza duka mpaka konda wa daladala, tafuta sehemu ambayo hamna wanaume mhamie huko maana kama ni Miss "NDIO" kwa yeyote hamna atakaemkatalia, friends or not.

Alafu kumfeel mtu sio kosa wala sio dhambi, tunawafeel watu kwa kuwa makini, kuwa na fikra nzuri, kuwa na mvuto wa sura ama maumbo hatuwezi kujizuia, ndio maana hata wanaume hawaachi kukodolea wanawake macho kila wanapopita wamependeza ilhali wana wake/wapenzi wao nyumbani au hata pembeni yao. Tunachoweza kufanya na kuwa in control, badala ya kuendesha na hisia wewe ndio unaendesha hisia. Kama uko free unaungana nazo, kama hauko free unaacha tu iwe "fulani ana akili sana/tabia nzuri/muonekano mzuri" na inaishia hapo.
 
@Lizzy
kwa hiyo unaafiki kuwa
unaweza kumfeel rafiki yako
ila self control ikachukua mkondo wake?
 
@Lizzy
kwa hiyo unaafiki kuwa
unaweza kumfeel rafiki yako
ila self control ikachukua mkondo wake?

Naweza nikamfeel mtu yeyote yule mwenye vigezo vya kuvutia (na hapa simaanishi kimapenzi) bali kwa namna ya ku-appreciate zaidi. Kwamba namkubali mtu. Hata sasa hivi nawakubali wale nnaowaita marafiki zangu wa karibu, ni wanawake/wanaume wa shoka ndio maana nimewaweka karibu. Sasa ukiamua kukuza mambo ndio unaanza kumtamani na kumtamani, ukishamtamani ukamtaka/mkubalia wakati hauna nafasi halali ya kumpa ndo unakua UMEHARIBU.
 
@Lizzy
nilimaanisha kumfeel/tamani kimapenzi
na bado ukaipotezea
kulinda urafiki
 
@Lizzy
nilimaanisha kumfeel/tamani kimapenzi
na bado ukaipotezea
kulinda urafiki

Labda kama urafiki wetu ulianza baada ya mimi kuwa na mahusiano, na ikitokea hivyo itabidi nijiulize kama nimeridhika na niliye nae au la. Kama ni tamaa tu sitoendekeza, naipishia mbali.Wale 'mupenzi' atakaonikuta nao siwezi nikawatamani wakati nikiwa na mtu wakati sikuwatamani nikiwa sina.
 
Yap, mara nyingi wapya ndo huwa tatizo
au mwingine mwaweza mlikuwa mnafahamiana
lakini hamkuwa karibu sana
mkianza kuwa karibu waweza feel kitu
japo huwa siamini ni 'love'
its kind of a 'lust'

Labda kama urafiki wetu ulianza baada ya mimi kuwa na mahusiano, na ikitokea hivyo itabidi nijiulize kama nimeridhika na niliye nae au la. Kama ni tamaa tu sitoendekeza, naipishia mbali.Wale 'mupenzi' atakaonikuta nao siwezi nikawatamani wakati nikiwa na mtu wakati sikuwatamani nikiwa sina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom