Junior members:ni mtazamo tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Junior members:ni mtazamo tu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 22nd, Mar 18, 2011.

 1. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani msinitoe roho, ni mtazamo wangu tu,na wewe unaweza kuwa na mtazamo wako pia.
  Toka nianze kuijua JF, naona post nyingi tu za watu wanaotafuta wachumba,wake kwa waume. lakini most of them ni just a members, junior members or senior members.
  kati ya watu 10 ya hao watafutaji wachumba, basi ni 1 tu atakuwa expert member or premium.
  Maswali yangu ni haya:
  Je expert members wote wameshaoa na kuolewa?
  Je ni hao hao ma expert na premium wana register upya ili wapate wachumba?
  kama si hivyo,inamaana huyo junior kabla ya kujiregister aliambiwa hapa jf ni sehemu rahisi ya kupata mchumba(best match:hug:)?
  Je,kuna aliyefanikiwa kuoa au kuolewa na mchumba wa jf?

  NB:Sijasema watu wasitafute wachumba hapa jf,hayo ni maswali tu ninayojiuliza kila ninapoona post ya uchumba,ila nakosa majibu.
  kwahiyo kama unamajibu unaweza kunisaidia.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Swali zuri sana mkuu ni kweli hilo lipo kabisa tena unakuta post ya kwanza mpaka ya tano ndo wakati wakutafuta wachumba
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  acha nikushkuru kwa kuileta hii kesi hapa jamvini, nitaifatilia kwa ukarib sana hii kesi. nitaleta matokeo baada ya upelelezi wangu wa kiintelijensia kukamilika. asante sana. tushirikiane kulejesha heshima ya jamvi.
   
 4. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Mimi naona huo mtindo umekaa katika kutafuta "attention" ya members wa MMU/JF kwa huyo member mpya, maana hizo posts/threads za "natafuta mchumba au natafuta inf.." huwa zinachangamkiwa na kuchangiwa sana sana hapa MMU

  Hivyo mimi naona hiyo ni "hodi" na waweza kuta mtu mwenyewe wala hatafuti mchumba wala nini.
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Na GURU JE?
   
 6. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ohh alaa kumbe
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Jf nakuzimia@yahoo.com

  Pande zote utakwenda lakini bongo ndo home

  JF where we dare to talk openly
  Mmmmhhhbhh

  Jamani natafuta kanda ya machozi jasho na damu
  Albam ya professor J

  Hii ni kwa kizazi kipya na kile cha kipindi ile
  Yap yap
  Bado tunasubiri jukwa la wachumba..

  I want you to have a wonderful w/end
  God bless
   
 8. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Wengi wao wanafurahisha roho zao.
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ujue mtu anapoamua kujiunga mara nyingi anakuwa na jambo linalomkuna au kumsukuma. Jambo hilo laweza kuwa shida ya maisha - anaona hapa JF anaweza kusaidiwa. Au pia mtu anajiunga baada yakuvutiwa na mijadala - anaona aingie naye atoe mchango wake. Kwa hiyo mtu anapojiunga mara moja anaweka mbele yetu kitu/ shida iliyomleta hapa. Ndo mana unaona junior wengi wanaanza kutoa shida zao zilizowabana, mf kutafuta wachumba, wake, kutafuta tiba kwa ugonjwa, kuomba ushauri kwa shida za familia, nk. Lakini mtu huyu baada ya kutoa madukuduku yake anakuwa hana zaidi jipya. Anakaa na kutulia jamvini, na kuanza kutoa michango mbalimbali katika uzi zinazoanzishwa. Kumbe sisi wazee wa JF tulishajieleza shida zetu siku nyingi, sasa tumekaa na kutulia jamvini.
   
 10. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapo umenena
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Member wa zamani hawana haja ya kubandika matangazo maana wao wanajua member wengine tayari!Akitaka anamvuta tu anaemvutia hapa jamvini PM wanajuania humo!
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  khaaaaa!:tape2:
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hutaki sasa?Mi nlikua na mpango wa kukuvuta wewe kama bado upo upo kwanza!
   
 14. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  don't waste your time here tressing people's particulars.Wengine ni maroboti..
  Jf watu wanakutana electronically tu,hapa kuna electronic friends and enemies,pia kuna watu wana id zaidi ya moja sasa ukitaka kujua nani ni nani utaumiza kichwa bure.wewe thamini michango na pia changia inapobidi
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Member wakongwe wanabadili id ili wasitaniwe na wenzao, ila wao ndio wanaongoza kwa kutafuta wachumba. kuna wanaofanikiwa kupata wachumba? wawe wanarudi kushukuru basi au ingalau kutupa feedback
   
 16. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nimekupata gaga
   
 17. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwahiyo we ulishampata mchumba?
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mimi sredi langu nalembea hewani nekst week, kwa kudokezea tu kigezo kimoja utatakiwa uskuwe ukiongea unalusha mate. vigezo zaidi vitatangazwa nekst week laiv jukwaa la mahusiano.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Count me out maana nikiwa naongea mtu niliyekaa nae sebleni lazima awe na mwamvuli!
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  watakuwa watukutu jamvini ndio maana wanabadili ID.
  mi premium member kesho nitarusha thread langu la kumtafuta nyonga mkalia ini.
  Umesikia mzuanda eeh?
   
Loading...