Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Mbona wakati wa Serikali ya Mwalimu haya maneno tulikuwa hatuyasikii, labda niwaulize Jumuiya ya Uamsho kitu - hivi bila Karume kuharakisha harakisha muhungano baada ya mapinduzi unafikili Mwarabu angekubali waswahili watawale Zanzibar? Sultani angetoka uhamishoni na kurudi na majeshi ya kukodisha na nina uhakika Karume asingekuwa na ubavu wa kuyashinda majeshi hayo bila kusaidiwa na Tanzania bara.
Mzee Karume aliona mbali sana, kuja kwake Tanzania bara na kumshawishi Mwalimu waungane mapema iwezekanavyo ilitokana na Karume kuwa na wasi wasi kwamba wangeweza kuvamiwa na majeshi ya Sultani muda wowote, kwa hiyo Salama yake ilikuwa ni kuhungana na Tanganyika. Kwa hiyo Jumuiya ya Uamsho wanao jifanya kupinga muhungano huu wana agenda zao za siri na infact ni uchu wa madaraka tu wakumbuke kwamba bila msaada wa kutoka nje wasingeweza kumung'oa Sultani mawazo yao yako OMANI kwa jamaa zao - kwani Karume alikuwa wapi usiku wa mapinduzi si alikuwa huku Dar-Es-Salaam, mkumbuke kwamba amani mlio nayo sasa hivi inatokana na kuhungana na Tanzania bara; mkijiondoa hamtabaki SALAMA (Mwalimu aliwahi kuwaonya kuhusu hilo lakini naona wengi wenu mnaweka pamba maskioni).
Hivi kwa mawazo yenu mnafikili Tanzania bara inanufahika nini kutoka Zanzibar, kila wakati kulalama lalama tu - chetu chenu, chenu chenu (baadhi yenu mko selfish kupindukia) wengi wenu mko Tanzania bara mnafanya biashara kokote bara bila kubugudhiwa na mtu yeyote-ebu tupe takwini ni Watanzania wangapi kutoka bara wako Zanzibar, je wana uhuru wa kukaa popote huko na kufanya biashara zao bila kuchomewa moto nyumba zao, hamtaki wauze pombe, kwani huko hakuna wakristo au watu ambao hawana dini - mbona amujawahi kuitangazia Dunia kwamba Zanzibar ni Islamic Republic.
Labda nimalizie kwa kusema majority ya Wazanzibar hawana matatizo na muhungano, tatizo liko kwa wachache tu ambao wanaona muhungano unawaletea kiwingu katika kutimiza Agenda zao za siri; na kwa kuwa kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuvumbua mafuta na gesi karibu na Zanzibar basi hata hilo linaweza kuwa limechangia katika kuanzishwa vikundi hivi vya kudai kutengana.