Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,637
- 46,279
Hii jumuiya bado haijawa na maana au faida kubwa kutosheleza kwa raia wa nchi wanachama.
Migogoro, kuhasimiana, kuvutana, vita vya kibiashara na ukosefu wa msimamo wa pamoja vimetawala.
DRC wameendelea kuparuana na Rwanda, Burundi na Rwanda wanaparuana, Kenya na Sudan Kusini nao wanaparuana na Kenya. Uganda na Rwanda nao mara kadhaa wanaparuana. Katika Jumuiya ni Tanzania pekee kwa kiasi kikubwa imekuwa haina migogoro mikubwa na majirani zake.
Kenya wamejiunga na mikataba wa EPA na AGOA wakiwaacha wenzao wanapiga kelele tu. Mazuio ya biashara yamekuwa ni jambo la kawaida kila pande na magendo yameshamiri kati ya nchi wanachama.
Kila kiongozi wanajifanyia siasa na kutawala wanavyojisikia, hakuna anayeweza kumwambia mwingine anafanya vibaya.
Hii jumuiya ya nini sasa?!