Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 28,065
- 35,643
Upo sahihi kabisa, Mzee Odinga anajaribu kutengeneza mazingira ya kuonyesha kaibiwa kura
Upo sahihi kabisa, Mzee Odinga anajaribu kutengeneza mazingira ya kuonyesha kaibiwa kura
Mkuu embu piga hesabu vizuri au mwambie dogo yeyote aliye karibu yako wa darasa la pili akusaidie kupiga hesabuWote mnaosema estimates basi hamjui hesabu.
kama ukitafuta % ya vitu kadhaa the highest precision should add up the 100% ukiwa unafanya round off to nearest decimal places inatakiwa ije 99.9999999 cause you reduced the precision otherwise anakosea.
mfano kwenye hii table at 3 d.p utaona inaongezeka to 100%
Ndio kitu hichohicho, ukiambiwa round up kama namba ni chini ya 0.5 automatically uta ushusha chini na kinyume chake kama ikizidi au ikiwa sawa na 0.5Round down!
Chini ya 5 ni round down, 5 au zaidi ndiyo round up! Mnakwama wapi?Ndio kitu hichohicho
Mkuu unanichamba nimekukosea nini tena?Rud shule utachekwa bure hapa.
0.01%×14,213,027÷100% unapata ngap?