SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 512
- 1,221
1.5mInabeba abiria wangapi?
Kwaiyo unataka kumaanisha Wazanzibari wote wakitaka kuja bara wanaweza panda hili dege na isiwe imejaa🤔🤔1.5m
Ongezea na raia wa visiwa vya ShelisheliKwaiyo unataka kumaanisha Wazanzibari wote wakitaka kuja bara wanaweza panda hili dege na isiwe imejaa🤔🤔
😂😂😂Ongezea na raia wa visiwa vya Shelisheli
Hizi ndio ndege sasa,,sio Yale mapanga boy
Hizi ndege hazitengenezwi tenaSerikali Yetu Inunue Hiyo
Kwaiyo unataka kumaanisha Wazanzibari wote wakitaka kuja bara wanaweza panda hili dege na isiwe imejaa
Sijakuelewa mkuu hii picha na kichwa cha habari cha Jumbo Jet,naona kama haviendani na sijajua unamaana gani,ila kwa uelewa wangu hiyo picha ni ya Airbus A380,na Jumbo Jet ni kampuni ya Boeing,kwa hiyo sidhani kama hiyo picha ni sahihi...
Breath in, breath out.....Sijakuelewa mkuu hii picha na kichwa cha habari cha Jumbo Jet,naona kama haviendani na sijajua unamaana gani,ila kwa uelewa wangu hiyo picha ni ya Airbus A380,na Jumbo Jet ni kampuni ya Boeing,kwa hiyo sidhani kama hiyo picha ni sahihi...
Chai,1.5m
Babu hamna ndege ndege yenye capacity hata ya watu 2000 duniani,zile kubwa kabisa zinaishia 900 hadi 10001.5m