Watu wachunge midomo waweke akiba ya maneno, huwezi kumsimanga mtu kwa hali yake kiafya,
Mama samia yupo wap??
Duni ni CUF damudamu na dhamiri yake inamsuta kuikana CUF na kujiunga CHADEMA. Maana mwisho wa siku CUF inakufa huku CHADEMA ikiongezewa nguvu ya wabunge na donge la ruzuku kuongezeka. Mzee kastuka.
Ratiba ya babu mbona sijaisoma jamani?
Mwenye taarifa tafadhali
Zomeazomea inayoendelea kuwakumba viongozi wandamizi wa UKAWA, mgombea mwenza wake Juma Duni ameonekana kukata tamaa ghafla kutokana na kile anachofanyiwa yeye na wafuasi wa CHADEMA wanaojiita wazalendo wa CHADEMA.
mwambieni mgombea mwenza wananchi wanamiss kwenye kampeni.
Juma aliuziwa mbuzi kwenye gunia, pole sana
mkuu sharifu hamad ni mjanja kamtanguliza duni chadema halafu kamkasirisha prof lipumba na prof kujiuzulu nyadhifa zake ili yeye ajipe uenyekiti wa chama kirahisi
Kuna mambo hayajawekwa sawa huko japo wenyewe wanajaribu kuuficha ukweli.Ratiba ya babu mbona sijaisoma jamani?
Mwenye taarifa tafadhali