Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Habari za saa itv mchana huu namuona babu duni akiwahutubia wakazi wa lindi vijijini! Huamini basi subiri habari ya saa 2 usiku!
huu uzushi ume expire anzisheni mwingine!
 
Watu wachunge midomo waweke akiba ya maneno, huwezi kumsimanga mtu kwa hali yake kiafya,
 
Popote alipo wamuongezee ulinzi maana anaweza akadhuriwa ili uchaguzi uhairishwe.
 
Ni muda umepita bila kusikia chochote kutoka kwa mgombea mwenza wa Lowasa ambaye ni Haji Duni (Babu Duni), je anaendelea na kampeni kimyakimya au vp? kwa anayejua hebu atujuze hapa tafadhal
 
Babu Duni yupo anaendelea na ziara zake huko vijijini .
Ni muda sasa hata Samia Suluhu hajaonekana naye au ameshajitoa?huko ccm hali inazidi kuwa kila siku.

02.JPG
masisiem hawana sera tena wamebaki kufanya maigizo
 
Wana jamii nauliza tu,yule mgombea mweza wa UKAWA Mhe. Juma Duni aka babu Duni yuko wapi kwa sasa? Mbona kimya wakati spidi yake ya mwanzo ilikuwa ni hatari au ndio hivyo wanasema keshachoka kuwapigia debe wanachadema?? Nauliza tuu

Leo alikuwa Kilwa. Soon picha zitakuja humu
 
Wana jamii nauliza tu,yule mgombea mweza wa UKAWA Mhe. Juma Duni aka babu Duni yuko wapi kwa sasa? Mbona kimya wakati spidi yake ya mwanzo ilikuwa ni hatari au ndio hivyo wanasema keshachoka kuwapigia debe wanachadema?? Nauliza tuu

Babu kaona dalili ya kushindwa ndo mana kaamua kutulia tuli
 
mtu mzima................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

Teh teh hehee! Una maanisha dawa au hovyo kama waswahili wenzangu wanenavyo.

Haya bhana ila isijekuwa na wewe unakili nyingi za kwenye ......
 
Back
Top Bottom