Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Tusiwe wepesi sana wa KUONGEA-KUTOA MAJIBU RAHISI KWA VITU TUSIVYO FAHAMU.Je kuna yeyote mwenye uthibitishi babu duni amejiyoa?
 
Taarifa ya habari saa tano usiku itv, Nyomi ya Duni Lindi live inaonyesha mda huu.
 
mkuu sharifu hamad ni mjanja kamtanguliza duni chadema halafu kamkasirisha prof lipumba na prof kujiuzulu nyadhifa zake ili yeye ajipe uenyekiti wa chama kirahisi

Aaaaah, kumbe, lol! Chama kinafifia hiki baada ya uchaguzi
 


Siku chache kabla ya kufungwa kwa zoezi la kurejesha fomu za ubunge na urais, mtu mmoja aliye ndani ya kambi ya UKAWA aliniambia, Juma Duni ameandika barua ya kujitoa kwenye kambi hiyo.
Ni baada ya kugundua Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amewazunguka kwa maagizo wanachama wake kuchukua na kurejesha fomu za kugombea hata kwenye maeneo ambayo tayari walishakubaliana kuwaachia CUF kusimamisha wagombea.
Juma Duni baada ya kupata taarifa hizo, naye akawaelekeza wagombea wa CUF nao wawahi kuchukua na kurudisha fomu lakini wakawa wamezidiwa maarifa na Mbowe. Kilichoendelea hapo Duni akawa mkali na kuandika barua.
Hata hivyo, viongozi wa UKAWA wakajitahidi kumsihi asijitoe wakafanikiwa, ila akawaambia siku yoyote akiona mambo yasiyoeleweka anajiweka pembeni. Juma Duni akaendelea na kampeni, kilichomkuta huko ni migogoro ya majimbo na kuzomewa hadi sehemu nyingine akajikuta akiondolewa uwanjani na polisi.
Baada kumaliza mkutano wa Nzega ambao mgombea wa CUF alikataliwa mbele yake hadi akashuka jukwaani kwa hasira, Juma Duni hajaonekana tena, taarifa niliyopata jana ni kwamba amepumzika na ataendelea na kampeni baada ya mapumziko yake yasiyo na kikomo.
Najiuliza anapumzika katika kipindi hiki ikiwa zimebaki siku chache huku kwa uhalisia upepo kwa upande wao sio mzuri ukiachilia mbali propaganda wanazofanya? Nakumbuka Slaa tuliambiwa yupo likizo baadae akaibuka na kusema aliamua kukaa kando na akajitoa Chadema.
Ukweli ni kwamba hali ndani ya kambi ya UKAWA ni mbaya, kuna migogoro mikubwa wanayojitajidi kuificha na kuisuluhisha. Juma Duni licha ya kulalamikia mgawanyo usio sawa wa majimbo, pia anadai fedha zake alizoahidiwa wakati anashawishiwa kuhama CUF ambazo hajalipwa hadi leo.
Pia kipindi chote alichofanya kampeni alikuwa anatumia fedha kutoka vyanzo vyake binafsi, UKAWA hawakumpatia chochote. Hiyo ndo hali halisi inayoweza kujibu alipo Juma Duni, ingawa hivisasa kuna jitihada za kumshawishi kurudi kufanya kampeni lakini kuna uwezekano wasifanikiwe na hata wakifanikiwa basi atafanya kampeni kwa shingo upande. Tusubiri.
 
Mzee kafulia mapema sana hana jipya kaona kunadi mafisadi ni kazi kweli.
 
Mgombea mwenza wa vyama vilivyo chini yamwanvuli wa vyana vinne UKAWA Duni,
Amedaiwa kuanza kurudi CUF mda wowote maanahaoni matumaini ya kushinda dola na kuwa makamu wa Rais badala yake atabakikuwa raia wa kawaida na mwanachama wa Chadema asiyetambulika popote.

Hofu hiyo pia inamuandama makaidi kwa kuwa chamachake hakitakuwa na wanachama wa kutosha kuchangia chama hicho kwani baadhiwamejiunga CCM na Chadema na kusababisha yeye abaki bila wanachama.

 
Mkuu wewe ndo ulivutaga zile bangi tulizozikojolea tukazianika
 
Mgombea mwenza wa vyama vilivyo chini yamwanvuli wa vyana vinne UKAWA Duni,
Amedaiwa kuanza kurudi CUF mda wowote maanahaoni matumaini ya kushinda dola na kuwa makamu wa Rais badala yake atabakikuwa raia wa kawaida na mwanachama wa Chadema asiyetambulika popote.

Hofu hiyo pia inamuandama makaidi kwa kuwa chamachake hakitakuwa na wanachama wa kutosha kuchangia chama hicho kwani baadhiwamejiunga CCM na Chadema na kusababisha yeye abaki bila wanachama.



Wenzako wana Malory wewe hata ela ya kununua perfume huna
 
Mkuu wewe ndo ulivutaga zile bangi tulizozikojolea tukazichanganya na mavi ya punda? Pole sana kiongozi wangu!
 
Back
Top Bottom