kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
ingekua membe sawa,..yeye muulize kuhusu barabara kama hujakimbia kwa aibu.makomeo ndiyo hafai mtu hajui Gaddafi na Sadam walikuwa viongozi wa nchi gani!

Kwani anataka kuwa Rais wa kujenga Barabara? Kama ni hivyo angoje Lowassa awe Rais aombe amteue kuwa waziri wa Ujenzi!ingekua membe sawa,..yeye muulize kuhusu barabara kama hujakimbia kwa aibu.
Amejiondoa maana amejipima ameona hafai, ubalozi wa nyumba 10 eti ndo unamfaa
Kwani Samia Suluhu (mpinga katiba ya wananch) yuko wapi? sijamsikia kivile
Hujamsikia ?
Utakuwa kwenu huna tv wala redio
Chakukusaidia
Jana alikuwa kuwa sirari
Yule Mzee wa ndembendembe......Kifo cha mende....Chaliiiii!!.. Yuko wapi siku hiZi? Naona mbwembwe zote kwishney!

Kamanda yupo kaziniYupo Dumila Kilosa Morogoro leo anaidelete ccm JE UNALINGINE??
juma duni jana pemba na lowassa, na wewe huna TV, hata hayo magazine ya tanganyika hayafiki pembaHujamsikia ?
Utakuwa kwenu huna tv wala redio
Chakukusaidia
Jana alikuwa kuwa sirari
Leo yuko Morogoro