Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Huenda kashtuka baada ya kugundua kwamba kumbe alikuwa bendera fuata upepo. wenye vyama (Maalimu na Mbowe) wamekula yeye anaambulia vumbi tu. wakati mwenzake kapewa chopa. chezea Babu wewe!
 
Huenda kashtuka baada ya kugundua kwamba kumbe alikuwa bendera fuata upepo. wenye vyama (Maalimu na Mbowe) wamekula yeye anaambulia vumbi tu. wakati mwenzake kapewa chopa. chezea Babu wewe!

Una akili sana
 
Una akili sana wewe, tena za kwenye masa buri
 
Amebwaga manyanga. Ndio maana Lowassa sasa anaomba usaidizi wa Mbowe.
 
Babu Duni hoi keshaona upepo mbaya hasikiki wala havumi yuko tuliiii
 
Mtahangaika sana na mpango mkakati wa ukawa ila hamtauelewa
 
Bado hamjakata tamaa na ukawa mkiamini mwisho wake upo tu!
babu duni anaendelea na kampeni kuanzia october mosi huko kisiwani mafia na wilayani rufiji wakati edo akiwa dar mwembeyanga na tanganyika packers! Kama unabisha we endelea kubisha tu!
 
Back
Top Bottom