Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

makomeo ndiyo hafai mtu hajui Gaddafi na Sadam walikuwa viongozi wa nchi gani!

Unapopima understanding capacity ya wajinga lazima ujifanye hujui kitu hivi hata kwa mwenye matope kichwani kama wewe Dr Magufuli mwenye PhD ya kemia anaweza kushidwa kujua Marais wa nchi hizo na akakumbuka idadi ya dagaa baharini na mbwa iringa madaraja na barabara zote Tz? Na huyo rais wa Monduli anakumbuka chochote zaidi ya wizi aliowafanyia Monduli na nchi nzima?
 
Inaonekana hata taarfa za habari za TV huwa huangalii

Unashinda humu jf ukitengeneza majungu.
 
Na sio taarifa to za habari kwenye TV, hata magazeti. Atakuwa anasoma habari za udaku tu. Leo alikuwa dodoma
 
Jamaa ana lay low Saba sio Kama mwanza wa kampeni....

Kunani?
 
Jamaa ana lay low Saba sio Kama mwanza wa kampeni....

Kunani?

IT Centre ya Masaki kweli kiboko,imechukua hadi MEMKWA!!.Hebu rudia kusoma hiki ulichoandika,kisha rudi ujipange upya.Bora uendelee kukata viuno tu kwenye majukwaa ya makomeo kuliko kuja kuandika utumbo jukwaani.
 
Jibu rais tu kwa hicho kichwa chako cha habari,ni kwamba jamaa yupo Guinea Konakry
 
Uwe unaangalia taarifa ya habari Itv siyo star wala tbc tv.

Ukiangalia hutatusumbua.
 
Unaanhalia tv gani taarifa ya habr?kama ni star au tbccm utaishia kuuliza.Watch out Itv
 
makomeo ndiyo hafai mtu hajui Gaddafi na Sadam walikuwa viongozi wa nchi gani!

Acha upotoshaji wewe! MUUZA NYUMBA ana phd bana usijifanye unajua sana thibitisha basi kwamba saddam husein hakuwahi kuwa rais wa libya na kuwait.eti phd damn! phd mai asi.
 
Nauliza tu maana sijamsikia kitambo sasa na kampeni zinayoyoma.

Jibu kwa hekima.




========================

Updates; 01 Oct 2015[/QU

ile kauli ya kuibadili misikiti kua Sunday school itakua ndio 7bu,SHEKH ANAEJITAMBUA HAWEZI KUANDAMANA NA WANAOUMTUKANA UISLAM.ndio maana profesa kakimbia mapema.
 
Back
Top Bottom