Mtoa Mada Hana hoja hapa
Mtoa Mada Hana hoja hapa
Zomeazomea inayoendelea kuwakumba viongozi wandamizi wa UKAWA, mgombea mwenza wake Juma Duni ameonekana kukata tamaa ghafla kutokana na kile anachofanyiwa yeye na wafuasi wa CHADEMA wanaojiita wazalendo wa CHADEMA.
Babu Duni atajuta kukurupukia pesa za Lowassa...na CUF wamesema hawatamkubali
Kwani walikuwa wanamsaidia katika kipi ambapo atashindwa kuishiBabu Duni atajuta kukurupukia pesa za Lowassa...na CUF wamesema hawatamkubali
Zomeazomea inayoendelea kuwakumba viongozi wandamizi wa UKAWA, mgombea mwenza wake Juma Duni ameonekana kukata tamaa ghafla kutokana na kile anachofanyiwa yeye na wafuasi wa CHADEMA wanaojiita wazalendo wa CHADEMA.
Toeni wenu huko juma duni ni makamu mtarajiwa
mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyeweSi kweli, kilichomkatisha tamaa ni kile alicho sema Dr. Slaa kuwa Chadema wame hamishia choo cha CCM chumbani kwao, baada ya mgombea kujiachia na choo Laivu. Kumbuka yule ni Mpemba wenzetu wanakuwa na Taasisi tofauti kwa tukio Kama lile.
Ccm mwaka ndo wamekuwa kama wapinzabi angalia hata mada wanazoanzisha ni za kiupinzani zaidi