Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Huyu jamaa alirudia mtihani enzi hizo darasa la saba ukirudia paper unapewa jina la kilaza aliacha shule ndo hapo mheshimiwa akapewa hilo jina la Julius Mtatiro kiuhalali jina lake ni Sunday Charles na ni kweli kwao ni Kiabakari-Madaraka-Musoma vijijini
jamaa ashawahi kuwa accused na wana CUF wenzanke over this matter...ila akajibu na kudai majina yote manne ni yake yaani Julius Sunday Charles Mtatiro...ila kipindi cha nyuma akiwa anasoma shule y msingi alikua anatumia hilo la Sunday Charles kabla ya kuswitch kwenda Julius Mtatiro kwenye elimu za Juu.
Ndivyo na mimi nilivyomsoma, lakini ni kwanini kajificha ficha kwenye maelezo yake?Kweli mkuu hiyo habari ni vague, unamaanisha kuwa Mtatizo aligushi vyeti au????????????