Julius Mtatiro na Zitto Kabwe ni vijana watakaohamia CCM siku moja

Nawasikitikia sana hawa vijana kwa kushindwa kuchanga karata zao vyema kwani wangeweza kwa umri walionao kuwa sehemu ya baraza la mawaziri.

Tatizo lao walishindwa kuchanga karata zao vyema na sasa mbongo zao zimesimama kufikiria maendeleo ya nchi.

Zitto na Julius Mtatiro ni wasomi wanasiasa wazuri kutoka UDSM na walikuwa na fursa ya kuchagua upande sahihi kisiasa ili waweze kufikia hatua nzuri za kiuongozi badala yake uzwazwa au majivuni viliwatawala katika maamuzi yao.

Naamini iko siku watajifunza na kuelewa ni maamuzi yapi ya kisiasa ni sahihi kwayo.

Wako vijana wengi nyuma yao ambao walichanga karata zao vyema na sasa wamewazidi katika vyeo vya kisiasa.

Naamini bado hawajachelewa na watajirekebisha na hatimaye kuhamia chama kubwa la Ukombozi barani Afrika.
Bado kuna maisha nje ya CCM!
Kwa vile wewe CCM ndo Baba yako na Mama yako, sio kwa kila mtu.
 
Nawasikitikia sana hawa vijana kwa kushindwa kuchanga karata zao vyema kwani wangeweza kwa umri walionao kuwa sehemu ya baraza la mawaziri.

Tatizo lao walishindwa kuchanga karata zao vyema na sasa mbongo zao zimesimama kufikiria maendeleo ya nchi.

Zitto na Julius Mtatiro ni wasomi wanasiasa wazuri kutoka UDSM na walikuwa na fursa ya kuchagua upande sahihi kisiasa ili waweze kufikia hatua nzuri za kiuongozi badala yake uzwazwa au majivuni viliwatawala katika maamuzi yao.

Naamini iko siku watajifunza na kuelewa ni maamuzi yapi ya kisiasa ni sahihi kwayo.

Wako vijana wengi nyuma yao ambao walichanga karata zao vyema na sasa wamewazidi katika vyeo vya kisiasa.

Naamini bado hawajachelewa na watajirekebisha na hatimaye kuhamia chama kubwa la Ukombozi barani Afrika.
Hatuhitaji mizigo kwenye chama chetu!
 
Akili za waTz wengine zinachekesha sana. Let us respect those intelligent people where they are. Serving your country is not about cheo. Wengine kama Jerry Muro anadiriki kumtukana ndugu yake ili tu apate cheo hata kama hastahili. Kama dada aliyesaliti dada zake kwa ajili ya cheo. Malipo ni hapa duniani.
 
Wewe,unakichomi cha mdomo ! Unaongea kama hujui unacho ongea wala unao waongelea ! ccm imewaharibu kiasi kwamba wote sura,tabia na matendo yenu ni kama ya bashite,kujipendekex za kwa jinsi yoyote ile,kutumia tumbo tu.Eti Zitto,Mtatiro,ukionyeshwa hawa watu utawajua ?? Au na macho yako nayo ccm wameyafunga ???
 
Nawasikitikia sana hawa vijana kwa kushindwa kuchanga karata zao vyema kwani wangeweza kwa umri walionao kuwa sehemu ya baraza la mawaziri.

Tatizo lao walishindwa kuchanga karata zao vyema na sasa mbongo zao zimesimama kufikiria maendeleo ya nchi.

Zitto na Julius Mtatiro ni wasomi wanasiasa wazuri kutoka UDSM na walikuwa na fursa ya kuchagua upande sahihi kisiasa ili waweze kufikia hatua nzuri za kiuongozi badala yake uzwazwa au majivuni viliwatawala katika maamuzi yao.

Naamini iko siku watajifunza na kuelewa ni maamuzi yapi ya kisiasa ni sahihi kwayo.

Wako vijana wengi nyuma yao ambao walichanga karata zao vyema na sasa wamewazidi katika vyeo vya kisiasa.

Naamini bado hawajachelewa na watajirekebisha na hatimaye kuhamia chama kubwa la Ukombozi barani Afrika.

Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwonyesha kwa mara moja milki zote za dunia. Akamwambia, “Ukipiga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote nita kaye.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.’
 
Hivi mbona kuna vijana wanajilengesha wenyewe kwa bidii kubwa hadi kujivua nguo hadharani halafu hamuwajali kama Muro au Le mutuz? Halafu nyie mnawataka watu kama Mtatiro ambao sio tuu hawawataki bali wanawachukia kabisa?
 
Vyeo vyote vya kisiasa vikubwa havizidi elf moja, lkn vijana mahili kama Zitto na Mtatiro wako zaidi ya hiyo namba. Ndio maana hata huko ccm kuna vijana mahiri zaidi ya akina shonza au mkumbo hawajapata hivyo vyeo ingawa kila siku wanatetea chama. Inawezekana umahili wa akina Zitto unauona kwa sababu ya siasa wanazo fanya na huko ndo kupanda kwao kisiasa.
 
Nawasikitikia sana hawa vijana kwa kushindwa kuchanga karata zao vyema kwani wangeweza kwa umri walionao kuwa sehemu ya baraza la mawaziri.

Tatizo lao walishindwa kuchanga karata zao vyema na sasa mbongo zao zimesimama kufikiria maendeleo ya nchi.

Zitto na Julius Mtatiro ni wasomi wanasiasa wazuri kutoka UDSM na walikuwa na fursa ya kuchagua upande sahihi kisiasa ili waweze kufikia hatua nzuri za kiuongozi badala yake uzwazwa au majivuni viliwatawala katika maamuzi yao.

Naamini iko siku watajifunza na kuelewa ni maamuzi yapi ya kisiasa ni sahihi kwayo.

Wako vijana wengi nyuma yao ambao walichanga karata zao vyema na sasa wamewazidi katika vyeo vya kisiasa.

Naamini bado hawajachelewa na watajirekebisha na hatimaye kuhamia chama kubwa la Ukombozi barani Afrika.
Mawazo ya kijinga kutoka kwa mjinga. Haishangazi mnatoa michango ya hovyo hovyo humu-kumbe akili zenu ziko kwenye teuzi tu. Unataka watu wajiunge na timu bunduki/ timu washamba kwa sababu tu ya teuzi? Hovyoo kabisa.....
 
Back
Top Bottom