Julius Mtatiro na Zitto Kabwe ni vijana watakaohamia CCM siku moja

Hakuna cha unabii hivi vitu huwa vinaandaliwa, ziko taarifa hata ubunge wa Segerea Mtatiro alichukuwa pesa kwa Bonna Kaluwa.

duah hizi habari za ndani (au zinazoonekana za siri) unabahati ya kuzipata...! Aiseee amini mipango yako mwenyewe usiamini mipango ya wawili ndo nililichojifunza hapa!
 
Back
Top Bottom