Julius Mtatiro na Zitto Kabwe ni vijana watakaohamia CCM siku moja

Wewe unafikiri kulitumikia taifa lazima uwe na cheo cha kisiasa mbona wengine tunalitumikia bila vyeo vya kisiasa, wanajeshi wana vyeo vya kisiasa?
Naongelea kulitumikia Taifa kama mwanasiasa...hata mama ntilie anatumikia Taifa.
 
Kwa ajili ya maslahi yao binafsi upo sahihi lakini kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa haupo sahihi. Hata hivyo Zitto amepiga sana pesa kwenye zile kamati na kama angejiunga CCM mapema asingeweza kupinga vitu bungeni na asingepata umaarufu wa kuwekwa ktk zile kamati. Na taifa lingepata hasara zaidi kuwa kwake CCM. Wewe ni aina ya wana CCM walioifikisha nchi hapa mahali ilipo, ni watu hatari sana wenye mawazo mgando ya kujineemesha binafsi.
 
Wekeni hela mezani..!
Haijalishi mkuu...issue ni wao kuchagua upande sahihi katika muda muafaka huku mioyoni mwao wakiwa na jambo jema kwa Taifa.

Inawezekana kwa sasa wanaowekewa hela(kama ni kweli) ni watu wadogo kimawazo ukilinganisha na kina zitto na mtatiro.
 
Hata sasa wapo na wanapiga kelele kwa maslahi yao kisiasa ...huo ni ukweli usio na shaka.
Taifa linawezekana linapata hasara kwa kukosa weledi wao ambao sasa hawautumii kwa kuogopa kuukwaza upinzani.
 
Haijalishi mkuu...issue ni wao kuchagua upande sahihi katika muda muafaka huku mioyoni mwao wakiwa na jambo jema kwa Taifa.

Inawezekana kwa sasa wanaowekewa hela(kama ni kweli) ni watu wadogo kimawazo ukilinganisha na kina zitto na mtatiro.
Moyo ndio unamsukuma MTU aende wapi, Huwezi kulazimisha nafsi iende CCM tu kisa kuna uwaziri, kua mpinzani kunatokana na Kiu ya Ukombozi na kupigania haki za kweli, ndiyo sababu hata inapohusu michango ya kifedha Mara zote wanachama na wajumbe nndio hutoa vilivyomo mifukoni mwao tofauti na CCM ambapo MTU anajua akienda kwenye kikao atakula na atarudi na chochote mfukoni.

Leo nimegundua Hujui chochote kilichomo ktk nafsi za wapinzani.
 
Back
Top Bottom