Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya

Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya

Hata mimi kitaa nja ikiwa kali inabidi nikanuse kwenye ofisi zao nione kuna milo 3kwa siku kuna fedha za kutosha kwenye mifuko yao harafu kunaviwanda vya kitosha kukizi uzalishaji na ajira kwa vijana wao na pia kuna milioni 50 kila kikundio na sio kijiji kizima nasubiri pro magu waje wani set mind huwenda kuna maendeleo ya ajabu maana wana kaslogani kwao rudi nyumbani kumenoga vinginevyo hapa mamruki tyu
 
Mtu yoyote anaehamia ccm from chadema......amepangiwa kila kitu ikiwemo ushindi wa jimbo lake kwa 95%......

Itoeni ccm....kama hamtaki tulieni hvo hivo mkiendelea kungoja muujiza.
Huyu anatokea cuf
 
Washamvalisha yale manguo nguo ya kijani....aisee..!!!

Njaa ikihamia kichwani ni hatari..
 
Kusoma saana kunaondoa maarifa! Kunamfanya mtu awe na ushujaa wa kijinga!
 
Siku nikikutana naye kwenye press conference nitamuuliza,Lipumba unamawasiliano naye siku za karibuni?
 
Kongole yake anapendeza kwelikweli. Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Kidumu Chama Tawala CCM.
 
1539247371840.png
 
Back
Top Bottom