Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya

Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya

[emoji847][emoji847][emoji847]
_20181008_094042.JPG
 
Mtu yoyote anaehamia ccm from chadema......amepangiwa kila kitu ikiwemo ushindi wa jimbo lake kwa 95%......

Itoeni ccm....kama hamtaki tulieni hvo hivo mkiendelea kungoja muujiza.
Mimi na wewe na yule na wao, ccm ina impact kwa wote, kama siyo leo basi kesho yake/yako /yangu haijulikani in the vicinity of ccm
 
ngoja 2020 kama kura za maoni atapita, labda Jiwe ampitishe kwa udikiteita!
Acha ujinga Chadema ndio waliofanya figisu hadi kupeleka majina Mawili NEC ili kumfigisu Mtatiro asichukue jimbo.
 
Hii ni nini? Au ndo uchezi? Sheria za mitandao jamani angalieni
Mtandao ume fanya nn wakati kapost mwenyew kweny instagram yake ni makosa kuileta apa ama una taka kusema nn kuhusu sheria ya mtandao apa??
 
Mtanzania Mwenzetu Ndugu Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya wenye Ishara Njema Kwa Taifa.
Alivo kua mnafiki ka DISABLE comment section kwenye iyo Post alijua kitacho fuata kutoka kwa followers wake
 
Huyu jamaa alimsema sana Lipumba na genge lake kuwa ni vibaraka wa ccm. Kabla hata mwaka haujaisha kafanya yake. Siasa za Tz raha sana. Ni ngumu sana kuiondoa ccm madarakani, ni ngumu sana
Mtanzania Mwenzetu Ndugu Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya wenye Ishara Njema Kwa Taifa.
 
Huyu jamaa alimsema sana Lipumba na genge lake kuwa ni vibaraka wa ccm. Kabla hata mwaka haujaisha kafanya yake. Siasa za Tz raha sana. Ni ngumu sana kuiondoa ccm madarakani, ni ngumu sana
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hakitadumu as kinaishi nje ya misingi imara kilichojiwekea, pia hakuna kitu kitadumu milele. Ila, naamini tunao Wanasiasa wengi wa upinzani tena wale machachari sana kwenye upinzani ni Mapandikizi ya ccm.

Wamewekwa upinzani kwa kazi maalumu siku kazi ikiisha wanarudi nyumbani ccm.
(Mtazamo wangu binafsi)

Siamini kama Inshu ya mtatiro kwenda ccm ni maamuzi alioyafanya kwa muda mfupi, Hell no,

Huyu alikuwa CUF kwa kazi maalumu, kazi imeisha amerudi kambini.

chama cha china hadi sasa kipo...pia ccm kipo
 
Back
Top Bottom