Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
mmoja ndevu mngine vupiHivi huyu ana tofauti gani na yule Lipumba aliyekuwa anamponda?!
Hovyooooooo......
ngoja 2020 kama kura za maoni atapita, labda Jiwe ampitishe kwa udikiteita!Huo ndo ujinga original kabisa,.....just in case kama mlikua hamuufahamu
ni ushahidi wa kukosa dira, kutokuwa na falsafa. falsafa ya tumboMtanzania Mwenzetu Ndugu Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya wenye Ishara Njema Kwa Taifa.
Hajapendeza. Kawa kama mgambo.Mtanzania Mwenzetu Ndugu Julius Mtatiro Akiwa na Uzi Mpya wenye Ishara Njema Kwa Taifa.
Mtu yoyote anaehamia ccm from chadema......amepangiwa kila kitu ikiwemo ushindi wa jimbo lake kwa 95%......ngoja 2020 kama kura za maoni atapita, labda Jiwe ampitishe kwa udikiteita!
Alikuwa akimsema Lipumba ya kuwa anatumika na ccmHivi huyu ana tofauti gani na yule Lipumba aliyekuwa anamponda?!
Hovyooooooo......
Uchezi ndio nini mkuuHii ni nini? Au ndo uchezi? Sheria za mitandao jamani angalieni