Julieth Robert (ITV) Ulikosa Khanga msibani?

Julieth Robert (ITV) Ulikosa Khanga msibani?

Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.

Kanga na mitandio inaulazima gani kwenye misiba? Acheni maabo ya uswahili hapa.
 
Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
You have said it all,i saw the same na nikashangaa sana.Hata kama alianza sehemu nyingine kutafuta habari but angebeba kanga kwenye pochi yake kwa habari ile ya kupokea mwili.
 
Nakapendaga kale kadada.... Yaani kangevaa kanga ndo kangeniua kabisa
 
Sijaona tatizo hapo,
Vaa kanga, vaa kimini, vaa buibui choice ni yako mtu kashakufa.
 
Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Kwanza suruali ni nzuri msibani, kwani iwapo utapata uchungu hata ukigalagala utakua umejisitiri.

What ifu avae kanga afu ndani mini sketi, ndo utamwona anamaadili?.

Tuonyeshe vituo vya cnn,sky,aljazeera etc jinsi wanavyovaa wakiwa msibani.
je kuripoto msiba kwenye tv ni maadili yetu?
 
mavazi na utu ni vitu viwili tofauti; kuna makundi ya kihalifu huvaa uhusika tofauti katika kutekeleza uhalifu, mfano majambazi kujifanya madaktari kwa kuvaa vazi la ki-tabibu. heri mtu awe 'yeye' kurahisisha umati kumtafsiri, vinginevyo ni unafiki. rejea wanaojigalagaza misibani wakitokwa machozi na mayowe kuuhadaa umma kuwa wana mapenzi ya dhati kwa marehemu kumbe hata hawana chembe ya 'utu'
 
Naskia kipindi hicho ukimuongea Mwl Nyerere kwa ubaya hata kama upo ndani na mke wako unamuongea kwa ubaya kesho yake asubuhi wazee wapo mlangoni kwako ni kweli mkuu
Nasikia enzi hizo hata vichaa walikuwa wanaogopwa wakidhaniwa ni mashushushu
 
kusoma UDOM ni tatizo nani kakuambia kuwa uwanja wa ndege ndipo msibani???
 
Aiseeee.....!!!!
Mwandishi alikuwa Kazini Sio Msibani nae akienda Msibani huvaa Khanga!

Mfanyakazi wa Guest house hata akiwa Ana bleed huwa anaenda Kazini japo Kwa utamaduni wetu Dem akiwa Ana bleed haji Guest house kuliwa!
 
MTOA MADA WASIO ELEWA ETHICS ZA TAALUMU YA UANDISHI WA HABARI WNAKUPINGA,LAKINI KUSEMA UKWELI YULE DADA ALIROCHA KUPITA MAELEZO
 
Back
Top Bottom