Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,983
- 11,794
Umetumwa?
kusoma UDOM ni tatizo nani kakuambia kuwa uwanja wa ndege ndipo msibani???
kusoma UDOM ni tatizo nani kakuambia kuwa uwanja wa ndege ndipo msibani???
Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Mleta mada umeksa kitu cha kukosoa, JNIA sio msibani lakini kubwa zaidi pale mwandishi yuko kazini tofauti na watu wengine ni sawa na kusema na askari wa kike aende pale na khanga, kwa mazingira ya kuchukua habari kwenye msongamano wa watu lazima avae nguo itakayomfanya awe flexible kutimiza majukumu yake kukimbia huku na huko kupata habari, sio aanze kushikilia kanga zinapodondoka.
Mlete uzi acha hizo.
Mama yako mzazi mara ya mwisho umenunulia lini khanga?
kwani khanga ina maana gani kwako?
kwetu kina mama wanavaa khanga kwenye harusi tu!
Alienda kikazi au alienda kuombokeza...... Kama ni hivyo mbona mkapa hakulia wala hata kutoa mchozi kidogoKwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Hv kuvaa vimini na suruali za kubana huko upande wako ruksa?Ni sheria gani inayosema uvae khanga msibani? usitake kila mtu aamini unachoamini.... usitake kila mtu awe na tamaduni zako..... usitake kila mtu aamini mafundisho ya dini yako.. Tanzania is multicultural state kila mtu ni sovereign kwa kila anachokiamini ilimradi asivunje sheria. Dont make your believe to be supreme over others .
umeona .eeh.ingekuwa jeans kweli lakini suruali ya kitambaa istoshe ni uwanjani sio nyumbani paleusipende ku complicate mambo mtoa mada.... na ile suruali yake mbona ilikua poa sana
kwa picha we kiboko

TISS ilikuwa ina maajenti hadi wavuta ugoro na wanywa mataputapu. Halafu kila kijiji alikuwepo bila kufahamika. Ndiyo maana aliweza kuwaadabisha wapinzani wake kwa kuwatupa uhamishoni nyumbani kwao wasitoke. Na walipokiuka maramoja walifahamika. Hilo la kunong'ona na mkeo halafu kesho unafuatwa yawezekana kukawa na ukweli, maana huyo unayemuita wewe mkeo yaweza kuwa ni ajenti mwenyewe.Naskia kipindi hicho ukimuongea Mwl Nyerere kwa ubaya hata kama upo ndani na mke wako unamuongea kwa ubaya kesho yake asubuhi wazee wapo mlangoni kwako ni kweli mkuu
Kurocha ndiyo kufanyaje? Inamaana sikuhizi hata kikurya kinatumika humu jf?MTOA MADA WASIO ELEWA ETHICS ZA TAALUMU YA UANDISHI WA HABARI WNAKUPINGA,LAKINI KUSEMA UKWELI YULE DADA ALIROCHA KUPITA MAELEZO
Ni ruksa kabisa tena nafurahia sanaHv kuvaa vimini na suruali za kubana huko upande wako ruksa?