UmesahauMwandishi alikuwa Kazini Sio Msibani nae akienda Msibani huvaa Khanga!
Mfanyakazi wa Guest house hata akiwa Ana bleed huwa anaenda Kazini japo Kwa utamaduni wetu Dem akiwa Ana bleed haji Guest house kuliwa!
uuuu fyuuuuyu hovyooioKwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Umesahau Kuna m
Hata Kama anableed Kuna ambao hupenda mlango WA nyuma kwa hiyo ataenda tu
Kabisa nami nilinote. Sidhani kama ilikuwa busara!Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Asirudi kwa nini Big no! Haikuwa fair hata kidogo hebu acheni kutetea ujinga!Kwa hizi comments mtoa mada harudi
Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.

hao vijana wanajua tulipotoka?ukikutwa na kipande cha sabuni lazima ueleze umenunua wapi,sukari kwa foleni ukiandikisha bati leo RTC kupata mwezi ujaomaisha ya ujima yanarudi Tv yenyewe tumshukuru Mengi maana mwaka 1993 sheria ya kurusha matangazo ilikua mwisho Mkoa wa Pwani alichokifanya Mzee Mengi ni kuweka TV kubwa kila mkoa kwa hiyo toka tumeanza kuona Live tuna muda kidogo usiturudishe enzi zile tena Mkuu.
hamna watu wachafu na wenye matendo mabaya kama hawa wanaojidaigi wana maadili sasa kuvaa kanga ndo kuwa na maadili je wanaovaa kanga bila nguo yoyote ndani hao nao wana maadili hebu acheni mambo yenu ya kujifanya wajuaji ilhali yenu hayatizamikiKwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Naskia kipindi hicho ukimuongea Mwl Nyerere kwa ubaya hata kama upo ndani na mke wako unamuongea kwa ubaya kesho yake asubuhi wazee wapo mlangoni kwako ni kweli mkuuhao vijana wanajua tulipotoka?ukikutwa na kipande cha sabuni lazima ueleze umenunua wapi,sukari kwa foleni ukiandikisha bati leo RTC kupata mwezi ujao
Hapo kwenye Bold ndio unapotakiwa kujiuliza mara mbili kuhusu ushauri wako! JE kuvaa khangaa msibani kwa mwanamke ni kizamani au kisasa!?Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.