Kunawatu wengine uongo ni jadi yao,na sijui mtu ananufaika na nini kwa huu uongo wanaoandika baadhi ya watu.
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.
Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu huu ni uongo totaly,hamna ukweli katika hili jamaa katudanganya nimiga simu arusha hiyo siyo kweli.
juliana hana hadhi ya kupanda Dar express,atapandishwa Masama Serengeti
I can't buy this shit
Ilikuwa arusha kata ya kaloleni uwanja wa kampala coach kachemka namnukuhu kidumu chama cha mapinduzi wenzie wakamwitikia kidumu akaendelea hakuna chama chenye mafisadi wengi kama chama cha mapinduzi !ghafla magamba wenzie wakamshusha jukwaani wabishe tumerekodi
mkuu hebu tuwekeeni hiyo clipIlikuwa arusha kata ya kaloleni uwanja wa kampala coach kachemka namnukuhu kidumu chama cha mapinduzi wenzie wakamwitikia kidumu akaendelea hakuna chama chenye mafisadi wengi kama chama cha mapinduzi !ghafla magamba wenzie wakamshusha jukwaani wabishe tumerekodi
Mkuu huu ni uongo totaly,hamna ukweli katika hili jamaa katudanganya nimiga simu arusha hiyo siyo kweli.