Mbona Mbowe alisoma Ihungo Sekondari na kumaliza kidato cha sita? Na Hull Univeristy je aliendaje? I doubt ukweli wa huyu dada lakini muhimu si elimu ila uwezo. Hivi Jacob Zuma alimaliza darasa la ngapi? How many of Tanzanian politicians can match him? Aibu kwa wanasiasa wa chama tawala ku capitalize kwenye personal attacks!
Naomba tukubaliane kitu kimoja tu... kuwa huyu binti si mwanasiasa hata kidogo. Kukaribishwa kwenye misafara ya wanasiasa na mahotelini wanamokaa wanasiasa, kusikiliza maongezi wanayoongea kila mara unapokuwa mgeni wao halafu ukurupuke na kujiita mwanasiasa huo ni ujinga.
[URL="http://www.facebook.com/juliana.shonza.5"]Juliana Shonza