FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 947
- 669
Hakuna pointi hapo,kwani kuwa na elimu ya F4,kuna tatizo gani katika siasa?mbona kuna wabunge ni darasa la saba??,ingekuwa kigezo ni elimu basi president alitakiwa kuwa PROFESA.Kasome civics upya.
h
h
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!