Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Kwani kipindi Mbowe ni mwenyekiti wake alikua ana elimu ya chuo kikuu, mpaka leo ndo agundue kuwa ana elimu ya form 4?? Hana lolote huyo dada, yeye na elimu yake imemsaidia nini?
Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!
Chadema kwa matusi?
Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Uwe mkweli kidogo! Kwani Kawawa ndiye aliyeasisi siasa ya vijiji vya ujamaa? Tupia lawama Tanu yako iliyozaa ccm. Kwenye elimu, sasa hivi mbona wanatupeleka ndivyo sivyo! Angalia sera yako ya sekondari za kata zilivyoleta matunda na kiongozi ni Dk!kawawa elimu yake ilikuwa ndogo ndo maana kila aliloambiwa na Nyerere alitekeleza bila kufikiri! mfano, operesheni vijiji vya ujamaa! matokeo yake wananchi walihamishiwa vijijini kwa nguvu na kuliwa na Simba! ndio maana ni hatari kwa viongozi wenye elimu ndogo kama Mbowe kupewa madaraka!
Ni bora kuwa na kiongozi ambaye ni form six kama ulivyodai na anajali na anajua Watanzania wanataka nini,kulikoni kuwa na wasomi wenye digrii mafisadi na wasio na msimamo kama Juliana Shonza, Hao wasomii wamefanya nini au wameifanyia nini Tanzania? Ukiwemo na wewe Juliana,hauaminiki,Utatumika tu kama Condom na mwisho utattupwa chooniHuyu Binti ni mwehu sana ..baada ya kutoka huko ndio ameyaona hayo ..mfa maji haishi kutapatapa
Usiwasingizie kabisa mkuu! walituachia nguzo kuu zote za uchumi katika nchi hii! Hao wasomi wako ndiyo waliouza kila kitu na sasa wana ukwasi kumkaribia Bill gates kwa kodi yako na pesa zao zipo nje ya nchi!Na unajuwa jinsi yeye na bosi wake walivyoiangamiza nchi?