Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
soma maandishi ya kijani hapo juu. aliitumia mwaka 94-95 akiwa waziri wa fedha. ndugu yangu nakuomba utumie ubongo wako. usidhani humu ndani hatuna akili
Safi sana dada yetu shupavu endelea kuwalipua hao wanyonyaji bora uligundua kuwa ulikuwa gizani
Kumekucha...
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
asante sana juliana shonza kwa kutudharau sisi watanzania wenye elimu ndogo
wito wangu kwa watanzania tuliokosa elimu naomba tusiwachague viongozi kama hawa wakina juliana shonza wanaotudharau kwa elimu zetu ndogo na kutuona kuwa hatufai kuongoza katika taifa ili
wana fikra fupi eti wanaamini uongozi unapimwa kwa kiwango cha elimu mbona tuna maprofesa wengi lakini utendaji ziro mfano yule wa elimu prof kawa-mbwa
Ng'ong'a ng'ong'a vuvuzela!haya mbona tushayasikia?mtasema mengi,tumeziba masikio!the system must step down no matter who's going to take over!ongea uwezavyo dada!
Hivi naye shonza anajiweka kwenye kundi la wasomi ? maajabu haya
Kwa hiyo mtu ana graduate with a PASS kunako 1975 na anakuja kuitumia hiyo degree 1994 ndio unaona matumizi mazuri ya ubongo sio?.....twenty years!....goodness me...