Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Kama fikra za huyu binti ndo ziko hivi, basi inawezekana ana matatizo. Kauli kama hizi zinakisaidia kweli hicho chama chake kipya? Labda hao wakubwa wa chama chake wao wanaridhika.
 
Hizi ni siasa za Kinafiki. kwa nini anasema wakati ametoka? Kama alikuwa si MNAFIKI angeongea wakati bado tupo ndani ya CHADEMA.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Kama Freeman A. Mbowe ni form 4 leaver na ameweza kuipandisha CDM kiasi cha kuaminika na Watanzania kupewa dola na kuipunguzia kura CCM kutoka asilimia 80% (2005) hadi 60% (2010) (hata hivyo zililalamikiwa kuchakachuliwa na inasemekana ni aslimia 46% tu), then sisi wengine unatufanya tukushangae km hako kaelimu kako (regardless ilivyopatikana) kana uwezo wa kumake-impact hata 5% tu ya hiyo impact ya Mbowe kwenye TZ politics.

A piece of advise my darling Julie, plz mind your personal career development by practicing constructive politics ili utuaminishe kuwa siku ukiukwaa (MUNGU akikujaalia) u-DC wilayani kwangu nishawishi watu wangu watii maagizo yako km DC. Otherwise, unajishusha hadi kiwango cha kuwa mpiga debe tu.

NB: Mtela Mwampamba is also advised too.

I advise as a gud Samaritan and your career mentor.
 
WARNING!!!!!!!!!!!!!
Wana JF tafadhalini sana thread kama hizi muwe mnaulizia na source ya information.Nahisi kuna watu wana fabricate story ili kujua reaction ya watu.Binti huyu kayazungumzia wapi haya,kuna sound clip?
Nahisi kuna kitengo maalumu kimeanzishwa kuwapandisha wanachama na wapenzi wa CDM pressure.KUWENI MAKINI!!!!!!!!

Hili nalo neno. Inawezekana pia ni mkakati kuwafanya watu wasahau matatizo ya msingi yanayoikabili nchi kwa sasa mfano matokeo mabaya ya mitihani ya kidato cha nne na mauaji ya huko Zanzibar.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

kawawa alikuwa darasa la nane sokoine form 4 sumeya form 4 sasa chakushangaza nini? Na nchi ilikuwa inaenda vizuri kuliko sasa hivi ilikuwa hakuna ufisadi wa wizi wa mali za umma.atulieleze na elimu ya huyo choko wa tambwe hiza.
 
Hapa naweza pata bani bila sababu, ngoja nipite tu.

Sent using wireless by wire
 
Ina maana hapa JF siku hizi ni jukwaa la kupromoti watu? Watoto wetu wanaferi sisi tujadili Elimu ya Mbowe ili itusaidie nini?

Awashauri CCM wenzake kwanza kwamba uchaguzi ujao wamsimamishe Profesa maana usomi ndio kujuwa kuongoza nchi, by the way huyu mtoto nasikia amegraduate pale UDSM, sasa ninachoshangaa kwani akitafuta kazi bado mapema atakosa kweli?
 
KIkwete ni Daktari? Tangu Lini? Nadhani ni Daktari wa heshima ambao hata asiye na elimu kabisa aweza pewa. Do you remember Dr Gama?
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Huyo binti ni mwehu.Kwa nini asihoji elimu ya JACOB ZUMA Rais wa South Africa.Uongozi si lazima usome sana kama kusoma ndio kuongoza basi wangechaguliwa PHD holders kuwa marais wa nchi
 
Being knowledgeable doesn't mean being intelligent my friend. Don't read one post in isolation.........try again to re-read arguments of JULIANA and my many contributions here!

I have nothing to do with your lost in translation contributions. You can spin whatever you like but do home work before post polarising comment. Ni angalizo tu. I'm out.
 
Tutolee mawazo ya takataka hiyo ,,,twamjua ni mnafiki msaliti mkubwa ananunuliwa na nape pamoja na mwigulu muulize lukuvi ana elimu gani??????
Nape nauye aweke elimu yake twamjua kote alikosoma india alienda kufanya nini ??? Form four na six alipata ngapi??????lukuvi alimaliza la saba shule gani???? Na dr feki nchimbi ?????kawawa alikuwa na elimu hipi?????????

hao uliowataja hawana uwezo wala akili ya kuongoza ,tofauti na Mbowe ni kichwa kilichotulia.
 
Bora kuliko mwenye degree ya uchumi lakini hajui ni kwanini sisi bado ni maskini!!
 
Toka lini maswali yakaenda shule? Hebu niambie hiyo BA(Pass) kaitumia wapi hapa?.......:yo::yo:

Born on 7th October 1950 at Msoga, Bagamoyo District, Coast Region, sixth born in the family of nine children. He is married to Mama Salma Kikwete and blessed with eight children

CAREER BACKGROUND
1995-2005Minister for Foreign Affairs and International Cooperation
1995-2005Member of Parliament for Chalinze Constituency
1994-1995 Minister for Finance
1990-1995 Member of Parliament for Bagamoyo Constituency
1990-1994 Minister for Energy, Minerals and Water Development
1988-1990Deputy Minister for Energy and Minerals
1986-1988 Nachingwea and Masasi Districts (CCM) Secretary General
1983-1986 Political Tutor at the Tanzania Military Academy in Monduli
1981-1983 Tabora CCM Regional Secretary
1980-1981Administrative officer CCM Headquarters
1977-1980 Deputy Secretary of CCM, Zanzibar
1976-1977Singida Regional Secretary of TANU
1975-1976Deputy Regional Secretary of Tanganyika African National Union (TANU) in Singida

EDUCATION
Feb. 2010 Honorary Doctoral Degree in International Relations from the University of Fatih, Istanbul, TurkeyDec.
2008 Honorary Doctoral Degree in Humane Letters from the University of Kenyatta, Nairobi, KenyaSep.
2006 Honorary Doctoral Degree in Law from St. Thomas University of Minneapolis, Minesotta, USA

(sijui education hii aliipata saa ngapi)

1983-1984Military Leadership Training(WHERE?)
1976-1977 Military Training at Tanzania Military Academy (TMA) at Monduli
1972-1975 B.A (Economics) University of Dar es Salaam
1970-1971 Tanga Secondary School
1966-1969 Kibaha Secondary School
1962-1965 Lugoba Middle School
1958-1961 Msoga Primary School

OTHER DISTINGUISHED POSTS HELD
July 2010Chairman of the African Leaders Malaria Alliance (ALMA) for 2010-2011
Jan 2010 Chairman of the East African Community (EAC)
2008Chairman of the African Union (AU)
2004 Co-Chair of the Helsinki Process on Globalisation and Democracy
2004 Chairman of the Council of Ministers of the Southern African Development Community (SADC) 1997Chairman of the Council of Ministers of the Organisation of African Unity (OAU)
1997 Chairman of the Council of Ministers of the East African Community (EAC).
1997Chairman of the Group of 77(What?...KINGS or PRESIDENTS)
1995Chairman of the Board of Governors of the East African Development Bank (EADB )

SOURCE: Jakaya Mrisho kikwete

soma maandishi ya kijani hapo juu. aliitumia mwaka 94-95 akiwa waziri wa fedha. ndugu yangu nakuomba utumie ubongo wako. usidhani humu ndani hatuna akili
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
huyu binti hana hadabu.kabisa hivi kweli kama siuongozi makini katika chadema.naiyo anayosema fom4 yeye leo hapo halipo ni jitiada za mbowe.kumpa nafasi katika uongozi.je chama chake cha sasa hao maprofesa wa nini.mafisadi wakubwa.siafazali mbowe wa fom4.na kazi yake inaonekana leo hata katoto kanacho zaliwa kana piga.pipozzzzzzzzzzzzzzzz.ccmm mngepata wakina mbowe2.nchiingekua na maendeleo.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

source??????????
 
Back
Top Bottom