Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Siasa haitaki phd hata maji marefu ni std 7 lakini ni mbunge kupitia CCM!Kwa hiyo si tatizo mbona vihiyo wengi CCM??
 
Wewe ndio usiyejuwa namna ya kutumia ubongo.......huyu binti anataka kutuaminisha kuwa mtu wa FORM FOUR hawezi kuwa Rais wala Waziri Mkuu na mimi ninawapa mifano ya walio weza kuwa hivyo. Sasa hoja yako ipi na ni vipi ulinganishe na kuuwa? Kuongoza nchi kunaweza kulingana na kuuwa?.....plastic brains you got there!

ungemshauri mbowe akasome hapo ungekua umemsaidia. hata kama naipenda chdm lkn huwa sipendi kuunga mkono ujinga.
 
Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!
Mzee Kawawa alisoma darasa la 8 la zamani mmoja wa claas mate wake alikuwa the late Proffesor Swed Mwankemwa. Na pia Mzee kawawa alikuw a actor
 
mnapotoa mifano kama hii na kutaka kuwalinganisha viongozi wa siasa ili ku-counter argument wakati mwingine hamuwatendei haki viongozi wenu bila kufahamu. Una maana gani unapomlinganisha Mh. Mbowe na Kiongozi aliyeshika madaraka kwa kuipindua serikali iliyoko madarakani (Andry Nirina Rajoelina). Huu jamaa hakuchaguliwa na wananchi kama unavyotaka kutuaminisha na kwa sasa uongozi umemshinda na ameamua kuachia ngazi kwa pressure za wananchi.

kwa maono yako, kama aliyekuwa DJ aliweza kutawala na Mh. Mbowe ataweza pia. Utasemaje nikisema, kama huyu jamaa ameshindwa kutawala kwa vigezo hivyo, na Mh. Mbowe naye kuna uwezekano akashindwa vilevile.

Fikiria kabla ya kutenda.

Being knowledgeable doesn't mean being intelligent my friend. Don't read one post in isolation.........try again to re-read arguments of JULIANA and my many contributions here!
 
Huyu binti ni mtumbafu sana...ww Juliana kazi yako inajulikana ni kuwatandikia vitanda hao akina Nape muwapo ziarani...sasa tangu lini house girl akawa na kelele kuwazidi wenye mji..??? Tumbafu yako Juliana

Mkuu hapa inabidi kupunguza jazba maana huyu girl asivyo na akili atatusababishi BAN wengi humu.
 
Kama kuna mtu ana ukaribu na Juliana Shonza amshauri kuwa anachofanya siyo siasa bali ni kitu kingine tofauti kabisa na mwisho wa siku itakula kwake. Sasa ni kwa nini mtu mwenye digrii ya chuo kikuu kama awe na tabia ya namna hii? Pawepo basi na tofauti kati ya mwenye digrii na asiyekuwa nayo ili watu wavutiwe na kuwa na digrii. Kinyume cha hapo ninasema: Never argue with a fool, people might not notice the difference.:yo:
 
Tunaomba atuletee mazuri ya mbowe ili ajihukumu mwenyewe,elimu na uongozi haviendani kama anavyojitumainisha juliana..............ha ha ha ha ha ha ha kweli njaa ni kitu kibaya sana na umaskini ni hatari sana.
 
ahahahaha Siasa kitu hatari engezungumziwa Lukuvi hapa wengechangia positive
 
Kama huyu naye alikuwa ni kiongozi wa CHADEMA basi kuna matatizo makubwa ndani ya chama hicho katika uchaguzi wa viongozi. Au mlimchagua kwa kuangalia jinsia yake kama alivyochaguliwa mama spika?
 
Hizi kelele za shonza ni mbiu kwa wadau kwamba anatafuta bwana. Hawa ndiyo aina ya mabinti wanaoamini kwamba hawawezi kuishi mjini bila kuwa na muwezeshaji pamoja na vyeti vyote alivyonavyo.
Yeye shonza pamoja na elimu ya chuo aliyonayo hana uwezo japo wa kujitegemea mwenyewe kwa asilimia 5 kwahiyo amechagua kuishi mjini kwa kuwa tegemezi kwa wanaume.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Sasa ashangazwa na nini? Mbona kuhusu elimu Mh Karume CCM walisema: amekuwa waziri, ni mtoto wa muasisi wa Zanzibar kwa HIVYO basi hiyo ni EQUIVALENT to a DEGREE!!! Usomi sio UONGOZI. Mkuu wa Kaya si ni DR, DR, Mheshimiwa, Kanali, Alhaj lakini tupo wapi?
 
maswali yako mbona ya kijiweni! uliza maswali yaliyo kwenda shule

Toka lini maswali yakaenda shule? Hebu niambie hiyo BA(Pass) kaitumia wapi hapa?.......:yo::yo:

Born on 7th October 1950 at Msoga, Bagamoyo District, Coast Region, sixth born in the family of nine children. He is married to Mama Salma Kikwete and blessed with eight children

CAREER BACKGROUND
1995-2005Minister for Foreign Affairs and International Cooperation
1995-2005Member of Parliament for Chalinze Constituency
1994-1995 Minister for Finance
1990-1995 Member of Parliament for Bagamoyo Constituency
1990-1994 Minister for Energy, Minerals and Water Development
1988-1990Deputy Minister for Energy and Minerals
1986-1988 Nachingwea and Masasi Districts (CCM) Secretary General
1983-1986 Political Tutor at the Tanzania Military Academy in Monduli
1981-1983 Tabora CCM Regional Secretary
1980-1981Administrative officer CCM Headquarters
1977-1980 Deputy Secretary of CCM, Zanzibar
1976-1977Singida Regional Secretary of TANU
1975-1976Deputy Regional Secretary of Tanganyika African National Union (TANU) in Singida

EDUCATION
Feb. 2010 Honorary Doctoral Degree in International Relations from the University of Fatih, Istanbul, TurkeyDec.
2008 Honorary Doctoral Degree in Humane Letters from the University of Kenyatta, Nairobi, KenyaSep.
2006 Honorary Doctoral Degree in Law from St. Thomas University of Minneapolis, Minesotta, USA

(sijui education hii aliipata saa ngapi)

1983-1984Military Leadership Training(WHERE?)
1976-1977 Military Training at Tanzania Military Academy (TMA) at Monduli
1972-1975 B.A (Economics) University of Dar es Salaam
1970-1971 Tanga Secondary School
1966-1969 Kibaha Secondary School
1962-1965 Lugoba Middle School
1958-1961 Msoga Primary School

OTHER DISTINGUISHED POSTS HELD
July 2010Chairman of the African Leaders Malaria Alliance (ALMA) for 2010-2011
Jan 2010 Chairman of the East African Community (EAC)
2008Chairman of the African Union (AU)
2004 Co-Chair of the Helsinki Process on Globalisation and Democracy
2004 Chairman of the Council of Ministers of the Southern African Development Community (SADC) 1997Chairman of the Council of Ministers of the Organisation of African Unity (OAU)
1997 Chairman of the Council of Ministers of the East African Community (EAC).
1997Chairman of the Group of 77(What?...KINGS or PRESIDENTS)
1995Chairman of the Board of Governors of the East African Development Bank (EADB )

SOURCE: Jakaya Mrisho kikwete

Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Mbona Mkwe.re tunasikia alitaka Kumpa Prof Maji Marefu uwaziri wa Afya na Ustawi wa Jamii sisi hatusemi....
 
mnapotoa mifano kama hii na kutaka kuwalinganisha viongozi wa siasa ili ku-counter argument wakati mwingine hamuwatendei haki viongozi wenu bila kufahamu. Una maana gani unapomlinganisha Mh. Mbowe na Kiongozi aliyeshika madaraka kwa kuipindua serikali iliyoko madarakani (Andry Nirina Rajoelina). Huu jamaa hakuchaguliwa na wananchi kama unavyotaka kutuaminisha na kwa sasa uongozi umemshinda na ameamua kuachia ngazi kwa pressure za wananchi.

kwa maono yako, kama aliyekuwa DJ aliweza kutawala na Mh. Mbowe ataweza pia. Utasemaje nikisema, kama huyu jamaa ameshindwa kutawala kwa vigezo hivyo, na Mh. Mbowe naye kuna uwezekano akashindwa vilevile.

Fikiria kabla ya kutenda. Ni angalizo tu.
Soma hii article:

Madagascar leader Andry Rajoelina opts out of presidential race

By RIVONALA RAZAFISON in Antananarivo | Wednesday, January 16 2013 at 09:12
RIVONALA RAZAFISON | NATION MEDIA GROUP

Madagascar's President Andry Rajoelina has finally caved in to huge international pressure and announced that he would not participate in presidential elections to be held in May this year, in an attempt to end the country's political crisis.

Mr Rajoelina, 36, who seized power in a March 2009 coup with the help of the army, made the announcement on Tuesday night in the capital Antananarivo.

"I will not be a candidate at the elections, I will sacrifice myself for the sake of the 20 million Malagasy," he said in a prime-time television address to the nation.

"I will manage the transition until the end and I am ready to make a democratic transition. I wish all the best to whoever will replace me," he said.

He has been facing both international and regional pressure from the Southern African Development Community (SADC), a 15-nation regional bloc that has been mediating the crisis to find a solution to the stalemate.

Donors cut off aid after he abandoned a power-sharing deal made in November.

Sanctions imposed by the African Union and the slowing of foreign investment have worsened the country's problems.

In December, French Foreign Affairs minister Laurent Fabius advised Mr Rajoelina to shelve his 2013 political bid and make a comeback in 2018.

Former president Marc Ravalomanana, who was ousted in the 2009 coup, also heeded calls by SADC not to run in the elections. He remains in South African exile.

The moves by Mr Rajoelina and Mr Ravalomanana to quit mean the May polls will open a new chapter in Madagascar's political landscape as the two have dominated the political scene for the last decade, their rivalry defining the island nation's politics.

Madagascar's President Andry Rajoelina inspecting a guard of honour in Tanzania last Friday. He finally bowed to pressure and announced that he will not participate in elections to be held in May this year.

Ni uwezo mdogo wa kifikra na kitaaluma ambao viongozi na wafuasi wa chadema wanao, juzi alijitokeza Mwenezi wa Chama Hicho Taifa, kijana mwenzangu Mnyika akiwa anauthibitishia umma kuwa yeye ni "form six leaver" ambae anakisemea chama kinachoongozwa na "form four leaver" huku wakiendeshwa na mawazo yaliyochoka ya Babu yao aliyeshindwa siasa.

Wanafananisha hata visivyofanana ili mradi watetee..,wanatokwa na povu kutaka ku-justify kuwa slaa ni kijana na kumtetea mbowe kuwa anaweza kuendesha chama kwa kuwa alimudu kuzungusha CD kipindi akiwa DJ.
 
Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!

marehemu mzee kawawa alikewa na eliminate ya secondary, alisomea Tabora boys. Na kwa Wakati Hugo that was masters, na badaye alijiongezea uzoefu wa kisiasa. Na Bw Mbowe in kijana anayejitahidi sana anastahili kushawishiwa zaidi , japokuwa kuna vijidosari kamikaze maisha take ya mwanzoni.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
WARNING!!!!!!!!!!!!!
Wana JF tafadhalini sana thread kama hizi muwe mnaulizia na source ya information.Nahisi kuna watu wana fabricate story ili kujua reaction ya watu.Binti huyu kayazungumzia wapi haya,kuna sound clip?
Nahisi kuna kitengo maalumu kimeanzishwa kuwapandisha wanachama na wapenzi wa CDM pressure.KUWENI MAKINI!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom