Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Uzuri ni kwamba mmeanza kumkiri wenyewe kwamba Dr. Slaa ndiye rais ajae. Mtasema yote lakini hayatawahepusha na kaburi mnalolichungulia. Ameshaona dalili maana kila chaguzi kwasasa mpaka za vijijini huko, CDM anazoa vyote bila huruma. Mtakoma kujidai mwaka huu. Kama anaamini ukubwa wa elimu ndio kigezo cha kuwa kiongozi, tunataka Juliana Shen.zi atamke hadharani kwamba uchaguzi wa 2015 atampigia kura Profesa Lipumba.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

wasiwasi wa nin serikal ingekuwa hiv:
RAIS- PADRE SILAA
WAZIR MKUU: FREMN MBWE,elim form four
WAZIRI WA ELIM:ARF.elim std seven(7)
WAZIR WA MICHEZO: MR.SUGU(rapa) ,elim form four
WAZIR WA VWANDA NA BIASHARA.JHN MNYKA.elim form six
 
I do not care the education of an individual, what I care much is what that individual is bringing to community. So long Mbowe is for positive Change I will support him to destine.

Unajua utajiri wa MBOWE umetokana na nini au unamsifia bure? Kazi kwenu wazee wa kila kitu yes kama MJUSI KAFIRI.
 
Juliana mpuuzi hivi hajui Zuma hakuingia darasani kabisa? Kina Lusinde wamesoma wapi? Kwa hoja dhaifu kama hizo walahi ataishia kubondwa mawe!
 
th


kuna mdau ameniuliza slaa ana shahada ya kwanza ya chuo kikuu? nikakosa jibu
akaniuliza tena: slaa ana masters? nikakosa jibu
akaniuliza: mtu anaweza kupata phd (isiyo honorary) bila ya kuwa na masters degree? nikakaa kimya
akaniuliza: cheo cha udokta amekipata wapi slaa hadi aitwe dr slaa? nikaguna
akaniuliza: unajua kuwa slaa phd yake ni ya kidini (canon law) nikamuambia kuwa mi nilidhani ni ya masomo mengine. kumbe ni ya kidini!?


"ka nchi haka kananuka" j.k. nyerere


akanirushia hizi data na mimi nimeona bora mnisaidieni kujibu hayo maswali hapo juu!




EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960
 
haya umesikika! na hao wa ccm wenye elimu wamefanya nini?au elimu zao zina watuma kuficha mapesa uswisi!
 
Mbona Mbowe alisoma Ihungo Sekondari na kumaliza kidato cha sita? Na Hull Univeristy je aliendaje? I doubt ukweli wa huyu dada lakini muhimu si elimu ila uwezo. Hivi Jacob Zuma alimaliza darasa la ngapi? How many of Tanzanian politicians can match him? Aibu kwa wanasiasa wa chama tawala ku capitalize kwenye personal attacks!

Kweli binadm wasahaulf juz tu .mara hooo pr.MAJI MAREF STD SEVEN!! MARA LUSINDE! MARA WAISLAM HAWANA ELIM!
 
Kuna msemo unasema 'no research, no right to speak' !!
Hapo kwenye blue, ungefanya research kwanza ndio uandike.
Angalia link hii hapa ya mwaka 2006 !!!, yaani wewe uko nyuma (a.k.a umepitwa na wakati) kwa miaka saba !!
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/582-mbowe-aamua-kunoa-ubongo-ulaya-4.html

Acheni kutunga uongo..,mbowe alienda ulaya kusomea u-dj na ndio fani pekee ambayo anaimudu kwa uhakika. Kujaribu kuwaaminisha watu kuwa mbowe ni msomi ni kosa kisheria.,kwani hapo unaweza kufunguliwa kesi ya defamation, kwani ni kashfa kumtangazia usomi mtu mjinga kisheria...!
 
juliana funza hivi hataki kutumia akili hata kidogo, yaani ukisikia kukosa shabaha ndio huku, akili yake imekuwa nyembamba mno, hana hata heshima ...anadhani siasa ni kuropoka ujinga badala ya hoja, kaendleza siasa za nape na nchemba...ataishia kuwa chakula ya magamba kisha hakuna cha viti maalumu wala ukuu wa wilaya coz chadema itafuta upuuzi wote 2015
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Huyu binti anatumika kuua CCM. Tuombe Mungu aendelee na uchafu wake huu. Upinzani utaimarika zaidi. Sidhani kama kuna Mvulana atakuwa tayari kumwoa binti kama huyu, la wa kutumia kama reliever.......

Anatuambia mtu kama DJ hafai naye kuwa kiongozi au kuwa na maisha mazuri! Mbona mimi nilikuwa shoe shiner na sasa namiliki biashara za kufa mtu hapa Jijini?
 
Wakati anawaongoza as mwenyekiti wenu wakati mko chadema hyo elimu yake hamkuiona? Baba yako wewe ana elimu gani? Shukuru juhudi zako kaka acha kudandia hoja za kijinga,Kama ccm ingekuwa na nia nzuri na wananchi bs ingetoa elimu bora kwa wote sio leo mnaanza kutusi watu,Tunakusubr uje iringa ili ujue siasa si hasa
Baba yangu ni retired civil engineer na alikuwa serikalini.
Mimi nimesoma mpaka form four na nimejiinua mwenyewe mpaka nilipo na ninaajiri wasomi kama wewe
 
kweli nimeamini mfa maji haachi kutapatapa.mtaongea sana mwaka huu
 
wasiwasi wa nin serikal ingekuwa hiv:
RAIS- PADRE SILAA
WAZIR MKUU: FREMN MBWE,elim form four
WAZIRI WA ELIM:ARF.elim std seven(7)
WAZIR WA MICHEZO: MR.SUGU(rapa) ,elim form four
WAZIR WA VWANDA NA BIASHARA.JHN MNYKA.elim form six


hii ni hatari. taarifa za elimu za viongozi wangu zimefanya mwili wangu uishe nguvu kabisa! mmmhhhhh! Mungu ibariki Tanzania
 
ukiwa malaya na akili inakuwa malaya hii hatari sikutegemea huyu binti ataongea mambo haya si muda atesema fulani alinitaka kimapenzi siku akinongewa penzi la kuahidiwa kupata cheo ndani ya ccm atavua hata nguo ili apate cheo
 
wasiwasi wa nin serikal ingekuwa hiv:
RAIS- PADRE SILAA
WAZIR MKUU: FREMN MBWE,elim form four
WAZIRI WA ELIM:ARF.elim std seven(7)
WAZIR WA MICHEZO: MR.SUGU(rapa) ,elim form four
WAZIR WA VWANDA NA BIASHARA.JHN MNYKA.elim form six

Duh...,hawa jamaa wanajinadi kuwa chama chao cha wasomi..,nimeamini kweli akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo..,JULIANA uko sahihi mama kuachana na hawa vilaza hakuna mwenye uwezo wako hata mmoja...!
 
Acheni kutunga uongo..,mbowe alienda ulaya kusomea u-dj na ndio fani pekee ambayo anaimudu kwa uhakika. Kujaribu kuwaaminisha watu kuwa mbowe ni msomi ni kosa kisheria.,kwani hapo unaweza kufunguliwa kesi ya defamation, kwani ni kashfa kumtangazia usomi mtu mjinga kisheria...!

Hapo kwenye blue, kumbuka, 'no research, no right to speak'.
Hebu lete ushahidi hapa kuhusu Mbowe kumudu kazi ya u-dj. Unao ushahidi ?? Weka hapa ushahidi...
Mimi ninao ushahidi kuhusu Mbowe kumudu vizuri sana kazi ya ubunge na kazi ua u-enyekiti wa Chadema.
Yaani amemudu sana kazi hizo za ubunge na u-enyekiti wa Chadema mpaka CCM wanakosa usingizi.
Upo hapo ??
 
Ana dharau lakini ya Dr. SLAA imezidi, juzi kawananga wake zake waliotangulia (Rose kamili na Cecilia Paresso) kuwa hawana hadhi ya kuwa wake zake. Hii ndiyo dharau kubwa kuwahi kusikia ikisemwa na kiongozi wa juu kabisa wa chama kama SLAA.

kwanza kabisa kawadhalilisha wanawake wenzake lakini pia katuzalilisha sisi wenye elimu ndogo ambao tuna iman na hao wanawake yeye aliowadhalilisha na tatu kamdhalilisha kiongoz ambaye ndiye mjenz mkuu wa taifa hili na kipenz cha watanzania na pia kawadhalilisha wanachama na wapenz wa chama cha upinzan ambacho ndiyo tegemeo pekee la watanzania ana balaa huyu mtoto
 
ha ah ah ah Shonzaaaaa, naona mavitu ya wazee wa ccm yanakuchanganya mdogo wangu! pole sana mwayaaaaaa eeeeeeh
 
Back
Top Bottom