Mwanaume anayemuonea wivu mwanamke anayeolewa tumeweke kundi gani?
Teh teh teh NA BADO,
...kunawanaume wanamioyo migumu..!?..dah,sioi shonza hata wakining'oa meno...
mungu wangu weeee!!!
Kwanini huyu bwana mdogo asingepima kwanza mdudu kabla ya hatua hii???
Dogo kaharibu maisha yake akiwa bado kijana mdogo!!! Na wewe shonza kwanini
usimwambie mwenzako ukweli??? Jamani eeeee