Aisee nimecheka kweli kweli. Hujui siku hizi vi Ben 10 ndio habari ya mujini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una bahati nimeshakuwa muhenga halaf sipendi mahandsome ningekutongoza
Thanks shunie, Mungu akubariki kwa uaminifu wako, sio kama wale wanaotusababishia arosto[emoji120] [emoji122] [emoji120] [emoji122]Jaman Juliana imeisha tuendelee na hii ya bibi nyanjige Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo