Soma na ujifunze

Soma na ujifunze

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,982
Reaction score
4,363
Wakuu, leo nataka niwape simulizi ya kweli kabisa ya mdada mmoja anaitwa Irene niliyekuwa namfahamu vizuri sana miaka michache nyuma.

Hii simulizi iwaendee wale dada zetu wanaoishi mjini kwa kudhani kuwa uzuri na ujana ni mali ya kudumu.
Irene alikuwa mtoto mbichi haswa. Kipindi yupo kwenye miaka yake ya dhahabu kati ya miaka 18 hadi 24 alikuwa anang'aa kama dhahabu iliyosuguliwa. Kila mwanaume alitamani kuwa naye.

Nakumbuka kuna injinia mmoja mstaarabu sana, alikuwa na kazi yake nzuri na akili ya maisha, alitaka kumtoa Irene kimasomaso, amuweke ndani na kuanzisha naye familia imara.

Lakini Irene akili yake ilikuwa wapi Aliona yule injinia mshamba. Akamkataa katakata mchana kweupe. Kazi ya Irene ilikuwa ni kutanua tu mapaja kwa kila shabarobalo na ma-fuckboys wanaojua kupiga pamba na kuendesha magari ya kuazima mjini. Alitaka cheap thrills, vibes, na kwenda viwanja kila wikiendi. Kila msela aliyemnunulia bia alikuwa na tiketi ya kumpanua. Aligeuzwa kilinge cha starehe, akajiona amefika, akawa anaringa na kuona wanawake wenzake wanaotulia na wanaume wa maana ni washamba.

Sasa sikiliza hii pigo la kusikitisha ambalo ndio ukweli wa kibiolojia. Survival ya mwanamke kutamba mjini ni miaka 10 tu!

Irene sasa hivi kafikisha miaka 30, akili ndio inamrudia lakini asili haina huruma. Hali yake sasa hivi inatia huruma na kichefuchefu kwa pamoja.

Kazalishwa watoto 4 hovyo hovyo, Hana mume, kila mtoto ana baba yake miongoni mwa wale wahuni waliokuwa wanachezea mapaja yake.

Soko liliingia total bankruptcy, Ngozi imesinyaa, sura imekomaa, na yale matiti yaliyokuwa yanasimama kama dondola sasa yamelala chini kama ndala zilizokatika.

Baada ya kupitiwa na zaidi ya wanaume 100+ na kuzalishwa mfululizo, amechakaa vibaya mno kama tairi la lori lililoisha upepo.

Zaidi ya yote, wale mashabarobalo wamemuachia zawadi ya kudumu, kwasasa anaugua UKIMWI (ngoma). Mwili unadhoofika, akili imechanganyikiwa, na anatumia vidonge huku akijuta.

Alipoona umri umeenda na ana mzigo wa watoto 4 na ngoma juu, ghafla akajifanya ameokoka Akaanza kutafuta "Wanaume wa Future" wenye akili zao ili awape mzigo wa kumlea yeye na genge lake la watoto.

Lakini nani anataka kuoa uozo, takataka, au mizoga iliyochakaa na iliyojaa maradhi? Wanaume wenye akili walimkwepa kama ukoma. Wale mashabarobalo waliokuwa wanajivinjari kwenye mapaja yake walishasepa, wengine wakaenda kuoa watoto wabichi kabisa wa miaka 18 na kuanza nao maisha upya.

Leo hii nikimwona Irene barabarani, anatia huruma lakini moyoni namcheka kwa kejeli. Amebaki kuwa masalia na jalala la jiji. Anakaa peke yake chumbani akiongea mwenewe, akijuta kwa nini alichezea ujana wake huku akitegemea miujiza ya kupata mwanaume wa maana wa kubeba uchafu wake.

Ushauri wangu kwa wazazi wenye watoto wa kiume, Waambieni watoto wenu ukweli huu mapema sana. Never, ever settle for scraps! Marufuku kuoa mizoga, takataka zilizochoka, na mabaki ya wahuni yaliyojaa magonjwa. Waacheni waishie huko huko barabarani walikochagua kufanyia umalaya wao. Leteni watoto wabichi, 100% fresh and untouched material, wa kuanza nao maisha kutoka scratch.

Mwanamke survival yako ni miaka 10 tu, ukishaitapanya kwa kutanua mapaja kwa wahuni, thamani yako inarudi sifuri na utaishia kuwa mzigo wenye maradhi! Mezeni huo ukweli mchungu. NIMEMALIZA.
 
Mkuu nakuomba unijibu kwa upole tu usinifokee
[emoji3526]
1 Huyo Irene amegonga hodi kuja kukuomba chochote kitu?

2 kwanini single mother wanakushughulisha sana una history mbaya nao?
[emoji3][emoji23]
 
Inasikitisha sana na linafedhehesha sana aise, dah.

Pole Irine, maisha ni kombolela na hujafa hujaumbika 🐒
Ndio mtaji wenu hao akina Irene muwatumie kwenye uchaguzi ujao na kuwavisha uroman Catholic fake kama yule Mkatoliki wa mchongo.
 
Aaanzishe kikundi cha kikoba mtaani akipata pesa atembee nazo tu ila Irene
 
Mkuu nakuomba unijibu kwa upole tu usinifokee
☺️
1 Huyo Irene amegonga hodi kuja kukuomba chochote kitu?

2 kwanini single mother wanakushughulisha sana una history mbaya nao?
Kwa hiyo asiongee ukweli kuwa cards za mwanamke ni chache mno na azichezea vibaya tu hana lake na soko likiisha anabakia kuwa mzoga?
 
Kama wanawake wangejua how short and small their cards are, wasingepoteza muda kujibrand wangetumia muda vizuri kujua nini wanataka na maisha yao, but they end playing games
 
Kama wanawake wangejua how short and small their cards are, wasingepoteza muda kujibrand wangetumia muda vizuri kujua nini wanataka na maisha yao, but they end playing games
Yes mkuu fact
 
Back
Top Bottom