Jukwaa zuri hili..!


Je ulishawahi kuolewa? Una mtoto/watoto? Na marital status yako ni single/divorce/separate au widow?
 

Mmh kwa hivi vigezo daSophy sijui kama utampata!coz wenye sifa hizo wa
rika lako n above wameshawahiwa,,nikimaanisha wanafamilia..anywayz
nisikukatishe tamaa dada yangu kuna wajane na watalaka!kila la kheri
 

Mwanamke mwenye vigezo kama hv asijisumbue kutafuta mchumba maana atapata wa kumgegeda tu!
 

kuna tatizo gani kwa mwenye elimu chini ya shahada? please explain.
 
Anne Kilango na Anna Abdallah wameolewa wakiwa na umri gani? Na usisahau Philip Mangula mwaka jana naye kajibebea mzigo.

Cha msingi kwanza ni current status yake ikoje? Na akumbuke tu Bakhresa kaishia elimu ya msingi tu.

Hata dr.slaa ana mchumba.
 
una miaka 42?kwanza nikuamkie SHKAMOO MAMA MDOGO SOFI! mi nauliza tu,ni kweli ulipokuwa mdogo unakuwa mipango yako ilikuwa hadi ukifika 42 ndio utafute mtu au hesabu ndio zimekataa mpaka muda huu?kama hesabu zimekataa sababu nilizoziona toka ktk maelezo yako ni hizi -wasio na shughuli imara za kiuchumi. -wenye elimu pungufu ya shahada ya chuo kikuu nakushauri tu,ungekuwa twenties nadhani ingekuwa sawa kuwa mchaguzi lakini 42 sio tu jioni ni usiku tayari mamaangu mpendwa,hivyo kwa faida yako legeza masharti ikiwezekana angalia kigezo kimoja tu cha imani mengineyo liwalo na liwe,ukiendelea na msimamo wako wa uchaguzi utarudi tena hapa ukiwa na miaka 62 bado unatafuta mchumba.kila la heri
 

kaka umeongea point
 

Kweli ee? Asante kwa maoni yako.however vigezo ndo hivyo
 
Mmh kwa hivi vigezo daSophy sijui kama utampata!coz wenye sifa hizo wa
rika lako n above wameshawahiwa,,nikimaanisha wanafamilia..anywayz
nisikukatishe tamaa dada yangu kuna wajane na watalaka!kila la kheri



Upo sahihi mkuu. Wenye familia i.e. Mke au partiner wa kudumu siwahitaji(ni moja ya vigezo).Sitakata tamaa na tutakayeendana naamini hatojuta kamwe
 
Ana masharti mengi mno ndo maana mpaka sasa hakijaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…