SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,616
- 925
Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
Mbona mimi ninacho na silionitunaliona watu wenye vitiki tu
Dah mimi nilidhani limefungwa maana nilikuwemo na ghafla tu siku moja nakuta sina option au n jia ya kuingia.Lipo na kuna mtu kaachia video 15mins ago.
mbona lilishafutwa kitamboDah mimi nilidhani limefungwa maana nilikuwemo na ghafla tu siku moja nakuta sina option au n jia ya kuingia.
Kwa nini?mbona lilishafutwa kitambo
Nadhani ni kutokana na Sheria mpya za kufungia website za bongoKwa nini?
Pia mimi jamani leteni majibu napata je tick au hii level naifikia je? Au tunatunukiwa kama PhDNifanye Nini ili na Mimi nipate kitiki!
We laana ninii...Na lisiwepo kabisa kwani limejaa laana.
Na we Mkazwaji au mkozajii😂😂😂We ni Ma msenge au Mamserenger ??!🤣, jina tu latosha kujua wewe nani!!
Lipo.Weye litafute utaliona.Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??