Jukwaa La Mapishi, Food Corner

Jamani wadau pishi la leo ni nini? Tujuzane asubuhi hii tuwai sokoni kuunua madikodiko
 
Kwa wenye kujua kutengeneza Mlaso chakula cha Wachaga hasa kwa wamama waliojifungua karibuni atujuze tafadhali
 
mwenye kujua namna ya kupika vyakula chukuchuku vya aina mbalimbali atujuze wapendwa
 
jamani watu wa mapishi mbona mmekuwa kimya?
nauliza naweza kupata wapi Blender kubwa yenye uwezo wa kusaga litre 5.
 
Cauliflower

Cauliflower can be roasted, boiled, fried, steamed or eaten raw. Steaming or microwaving better preserves anticancer compounds than boiling. When cooking, the outer leaves and thick stalks are removed, leaving only the florets. The leaves are also edible, but are most often discarded.

Low carbohydrate dieters can use cauliflower as a reasonable substitute for potatoes; while they can produce a similar texture, or mouth feel, they lack the starch of potatoes.
 
lol! wifi kwa ruksa yako ntaanza na chukuchuku ya kmoto (sweetie wako akipita mitaa hii huwa anadusa,na mie huwa napika kwa siri kakako akiwa hayupo,lol. shurti bigijii pakiti nzima!)
Ngoja niwaite Gaga, Mbu na King'asti... hao ndio wataalam wa Chuku chuku...
 
lol! wifi kwa ruksa yako ntaanza na chukuchuku ya kmoto (sweetie wako akipita mitaa hii huwa anadusa,na mie huwa napika kwa siri kakako akiwa hayupo,lol. shurti bigijii pakiti nzima!)



Kweli kabisa umenipa mtihani na nimejuta kupita mahala hapa.... Dah! Wifi King do you love me kweli??
 
aah comeon....kumbe X Paster ni mtaalamu mkubwa sana sekta ya ya ya maakuli!!!.. hongera sana
 
Mods inamaana kona zote za hili jukwaa hujapata pa kutuweka, maana mapishi ndio uhai wenyewe, tafadhali!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom