jamani ndugu zangu nimeapply mara ya pili lkn nilipoingia ktk profile yangu nimekuta programme zangu nne hakuna badala yake wameniongezea programme mbili ambazo sikuziomba na ni nje ya taaluma yangu sasa nifanyeje? na kibaya zaidi kila programme nimeandikiwa not selected na kwa maana hii sielewi kama ndo nimemwagwa tena.