Jukwaa la chit chat matatani

Jukwaa la chit chat matatani

Nivea nilikuwa najiuliza uko wapi? Madhali umejileta mwenyewe, basi mjombako nimeongezeka ratili tano kwenye uzito wa mwili wangu.

Usiwe unatoroka tena ankoo!
 
Last edited by a moderator:
watu8 anakuita mahali
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu
mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat
nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha

ukitaka kunzodoa nzodoe tu nshawafikishia ujumbe wangu

wasaalimu mtoto mzuri Nivea
 
Hivi unatumia zana gani kujipimia kua wewe u-mzuri ?
 
Last edited by a moderator:
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu
mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat
nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha

ukitaka kunzodoa nzodoe tu nshawafikishia ujumbe wangu

wasaalimu mtoto mzuri Nivea

Wewe Nivea hujambo,nani analeta matata huyo apigwe
 
Last edited by a moderator:
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu
mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat
nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha

ukitaka kunzodoa nzodoe tu nshawafikishia ujumbe wangu

wasaalimu mtoto mzuri Nivea
Hahahahahaha iliyokubana ndiyo ninj?? Haijakuachia bado?
 
Last edited by a moderator:
Na kweli...missing you more Nivea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom