Jukwaa la chit chat matatani

wanaume hawawaji wambeya wao wanasema ukweli
mbeya ni wewe unayejifaragua kwamba hutaki huku unataka.
yaani Bishanga wewe ni mbeya kweli kweli hakianani lol lakini tuliachan huku ila kwenye simu twawasiliana haya kalilie mabondeni .
 
ooopppss!!! nikazani server imedoda !!! hahhaha kumbe kumisiana .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom