Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,667
Huwezi kubashiri ,..View attachment 3318756
Nahisi ulikuwa na pozi hilli upoandika hilo jibu.
Huwezi kubashiri ,..View attachment 3318756
Nahisi ulikuwa na pozi hilli upoandika hilo jibu.
😂😂 tamthilia kuitwa kombolela sio mchezoAzamTv-Sinema zetu, ijumaa,.jmos na jpili sa3 usiku
Ni tamthilia 😄😁
Hahah,. Ina visa vya kuchekesha sana 😅 😆😂😂 tamthilia kuitwa kombolela sio mchezo
Hahah,. Ina visa vya kuchekesha sana 😅 😆
Usiniambie hawa watu hujai kupishana nao mahali?
Oukay,. Kwajili yangu ukipata mda kama unaa Android download swahiliMax Then search hiyo tamthilia kuanzia Season one uangalie visa vyake ,. Halafu uniambieHapo namjua huyo biggie mweusi tu
Mie niliacha kuangalia hizo nikiwa mdogo...siku hizi ukiona naangalia TV labda ni mpira tu
Oukay,. Kwajili yangu ukipata mda kama unaa Android download swahiliMax Then search hiyo tamthilia kuanzia Season one uangalie visa vyake ,. Halafu uniambie
Nikupe mda gan??🧐🤓
Kombolela na Zahanati ya kijiji ndo favors tamthilia kwangu.Hii tamthilia imeanza kupoteza mvuto na wasipokua makini watapitwa na kombolela maana sikuizi ina mashabiki wengi sana
Fungu langu nayo ni nzuri sana,.Kombolela na Zahanati ya kijiji ndo favors tamthilia kwangu.
Zinafuatwa na Kapuni, Fungu langu, Lawama.
Kosa 1 ilifika hatua waliharibu.
SawaNitajaribu but siwezi kupromise kwasababu sio aina ya vitu napendelea
Niliacha kuitazama, matukio enyewe hayaeleweki, inachosha, mimba haikuii, LolFungu langu nayo ni nzuri sana,.
Sahizi Jua inapoteza uhalisia uliokua nao mwanzo,. Wafanye tu kuimaliza
Yaani inashangaza sana tangu Maria aanze kucheat miaka hiyo mpaka leo hajakamatwa na mimba ndiyo hiyo inazidi kukua, ile za mwizi arobaini naona kwao haipo kabisaHabari za Jumatatu
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo niendelee na program zangu.
Changamoto ni kwamba ni tamthilia iliyojaa ufuska mno, tena wa wazi. Kila tukio ni stori za ngono. Wanahamasisha usaliti bila hofu. Hata kama mwisho ungekuwa tofauti na matarajiio, kwamba hao mafuska wamepata juakali, bado wameshatenveneza dameji. Wameshafundisha watu, haswa wanawake zetu mbinu za kuchepuka. Na kwamba hakuna baya kwenye usaliti. Ni ujanja wako tu kuhakikisha unakuwa janja janja kukwepa kushikwa.
Sasa mbaya zaidi ni juzi hapa wale wazinzi wawili walipopata kiota cha kufanyia uchafu wao, yule dogo alifanya ishara ya msalaba kushukuru kwamba anafanikisha kumla mke wa mtu. Yani alimshukuru Mungu kumsaidia kufanikiwa. Ukweli niliona na nilifadhaika. Ni kufuru ya hali ya juu dhidi ya Ukatoliki na Ukristu.
Sasa Jumapili naangalia program zangu, nakumbushwa kuwa inaanza. Wakachukua remote. Kuangalia stesheni, tanthilia haipo muda huo na badala yake kuna kipindi kingine. Kama wameisimamisha ni jambo la heri. Wenzao wazungu hutangaza kabisa kuwa hii kitu ni utazame kwa uamuzi wako. Napenda kuona wanaipiga pini kabisa.
cc waziri Dr. Dorothy Gwajima
Toka lini kombolela ikawanyuma ya juakali?Hii tamthilia imeanza kupoteza mvuto na wasipokua makini watapitwa na kombolela maana sikuizi ina mashabiki wengi sana
Naona season1 watu hawakua wanaifatilia sana kama wanavyofatilia saizi season2.. Kipindi hiko Juakali ndio ilikua ya moto ila saizi haina tena uhalisia na mvuto pia watu hata hawaizingatii sanaToka lini kombolela ikawanyuma ya juakali?
Ujue mimba ya maria ina mwaka kabisa jamani Loh!😂😂😂😂 kwanza tu alivyotoka mimi mars ndio baasi,. Frank nae kama hana akili nzuri limtu linacheatiwa na kudanganywa kila siku,. Tuje kwa Anna nae visa ni vilevile kila sikuNiliacha kuitazama, matukio enyewe hayaeleweki, inachosha, mimba haikuii, Lol
Huyu director simulizi zake zote nilizobahatika kuziona ni full uzinifu hata ile riwaya ya KAPUNI haikuisha vzr pia ilijaa lana tupuHabari za Jumatatu
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo niendelee na program zangu.
Changamoto ni kwamba ni tamthilia iliyojaa ufuska mno, tena wa wazi. Kila tukio ni stori za ngono. Wanahamasisha usaliti bila hofu. Hata kama mwisho ungekuwa tofauti na matarajiio, kwamba hao mafuska wamepata juakali, bado wameshatenveneza dameji. Wameshafundisha watu, haswa wanawake zetu mbinu za kuchepuka. Na kwamba hakuna baya kwenye usaliti. Ni ujanja wako tu kuhakikisha unakuwa janja janja kukwepa kushikwa.
Sasa mbaya zaidi ni juzi hapa wale wazinzi wawili walipopata kiota cha kufanyia uchafu wao, yule dogo alifanya ishara ya msalaba kushukuru kwamba anafanikisha kumla mke wa mtu. Yani alimshukuru Mungu kumsaidia kufanikiwa. Ukweli niliona na nilifadhaika. Ni kufuru ya hali ya juu dhidi ya Ukatoliki na Ukristu.
Sasa Jumapili naangalia program zangu, nakumbushwa kuwa inaanza. Wakachukua remote. Kuangalia stesheni, tanthilia haipo muda huo na badala yake kuna kipindi kingine. Kama wameisimamisha ni jambo la heri. Wenzao wazungu hutangaza kabisa kuwa hii kitu ni utazame kwa uamuzi wako. Napenda kuona wanaipiga pini kabisa.
cc waziri Dr. Dorothy Gwajima
Huyu director simulizi zake zote nilizobahatika kuziona ni full uzinifu hata ile riwaya ya KAPUNI haikuisha vzr pia ilijaa lana tupu